mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    KWELI Ziwa Natron haligeuza wanyama wanaokunywa au kuogelea maji yake kuwa Mawe bali huwakausha na kuhifadhi mizoga hiyo bila kuharibika

    Je, ni kweli Ziwa Natron linawageuza wanyama wanaokwenda kuogelea ndani yake kuwa mawe?
  2. Stephen bryson

    Bei ya mkaa wa mawe

    Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane. Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
  3. PureView zeiss

    Waliorusha mawe na kuvunja vioo vya treni mpya wakamatwa

    Jeshi la Polisi limewakamata na kuwahoji Watuhumiwa wawili ambao ni Watoto wa miaka 16 na miaka 12 kwa tuhuma za kuvunja vioo viwili vya Treni ya Mwendokasi (SGR) kwa kutumia mawe katika Kijiji cha Manase, Wilaya ya Chamwino Dodoma. Taarifa ya Polisi imesema Watoto hao ambao majina yao ni...
  4. Eli Cohen

    Mnaosema Waisrael waliopo sio halisia na ni wazungu wenye macho ya bluu, sasa mlitegemea mlipowafukuza huko walipokimbilia wazaliane na mawe au?

    Leo hii Israel ina: 50% Middle Eastern Jews. Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa. Hatimae walirudi nyumbani baada ya kuzaliwa upya kwa taifa la Israel 1948 na pia wengine walirudi Israel...
  5. kimara Kimara

    NAOMBA KUJUA MAKADIRIO YA MAWE (TRIPU ZA MAWE) KWENYE MSINGI WA VYUMBA VIWILI, MASTER BEDROOM MOJA, SITTING ROOM, KITCHEN, STORE NA PUBLIC TOILET..

    Habari za muda Huu wapendwa, Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo. Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na...
  6. Roving Journalist

    DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa maelekezo ya kusimamishwa kwa mchakato wa utafutaji madini kwa kulipua mawe kwa baruti eneo la King’azi A kusimamishwa kwa kuwa hana vibali na hivyo anahatarisha usalama wa mali na Watu. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Jamaa anapasua mawe kwa...
  7. BigTall

    Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  8. JOHNGERVAS

    Naomba kufahamishwa kuhusu Mawe ya amethyst, rose quartz, au citrine

    Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
  9. Q

    Tumeyataka wenyewe, ukiwa kwenye nyumba ya vioo usianze kurusha mawe

    Kwa speech ile tumewachokoza wenyewe. Hapa duniani kuna mashirika makubwa ya kijasusi ambayo yakihitaji kitu au kumhitaji mtu popote pale hayashindwi. 1. CIA - Shirika la kijasusi la Marekani. 2.Mossad - Shirika la kijasusi la Israel. 3. M16 - Shirika la kijasusi la Uingereza. 4. KGB - Shirika...
  10. gallow bird

    Iran yakumbwa na mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe

    Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
  11. Roving Journalist

    Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  12. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  13. Its Pancho

    Mawe kumi Stars vs Zambia niliyoyaona

    Wakuu 1; Hemed Moroco ametuheshimisha! Ilihitaji muda kidogo kumuelewa, alianza taratibu na sasa anatishia kibarua cha kocha Amrouche! 2; Stars wameshinda lakini bado Zambia wamecheza mpira bila kupata matokeo!, ari na morali ya Stars imeimarika sana na wachezaji wanajituma sana ,pongezi kwa...
  14. Lolen lee5

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake. Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
  15. Uhakika Bro

    Je, Tanzania ni kiwanda kipi kinajishughulisha na uchongaji mawe kupata meza, vigae etc?

    Naomba kuuliza: Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi. Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana. Mambo ya meza za jikoni, vigae na vitu luxury vinavyoweza kuchongwa toka katika mawe mojakwamoja, je...
  16. Mzee makoti

    Barabara ya Bagamoyo eneo JKT Mbuyuni hatarini kukatika/ wachimba mawe

    Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika. Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
  17. Melki Wamatukio

    Kweli mioyo ya watanzania imekuwa migumu zaidi ya mawe. Unaanza vipi kutumia vidonge vya PrEP ?

    Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha kuhusu matumizi ya pombe yaliyokithiri yaliyosababishwa na homa ya mapenzi Wakati nilikuwa nikipata...
  18. M

    Mawe kwenye figo

    Salaam Wakuu, Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo. Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2...
Back
Top Bottom