Hii ni screenshot kutoka kwenye ukurasa wa IG unaotumiwa na Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali na Karibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo👇👇
Mapaka saa 6 na nusu mchana wa leo post ilipendwa na watu 907, huku watu 676 wakitoa maoni yaa.
Wengi waliotoa maoni wanaonesha...
Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME.
Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??.
Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho na ikiwa wenye wajibu wa kufanya hivyo wakiwa na nia basi muda unatosha kabisa.
Aidha amesisitiza...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Asalaam Aleykum wana JF,
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye hoja.
Mara nyingi na kwenye jamii nyingi, matajiri na watawala huogopa mabadiliko kwa sababu yanatishia maslahi yao tofauti na wanyonge ambao wengi wao hawana cha kupoteza zaidi ya kupoteza umaskini na unyonge wao.
Haya yaliwahi...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Mabadiliko kwa Wabongo bado sana, tusidanganyane kupeana matumiani na ujasiri fake kwenye keybord.
Wabongo bado tuko kwenye usingizi mzito sana ziaidi ya usinhizi wa maiti, na nazani baada ya Kenya kumalizana na mabadiliko itafuata Uganda na huenda hata Rwanda then ndio Tanzania. Sisi kwanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:05...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Advertisement
Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday,
April 9, 2025
IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards
By Emanuel Fabian Follow
Today, 9:05...
Na Waaandishi Wetu
BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono.
Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
Tunapenda mabadiliko lakini hoja ya kuzuia uchaguzi nchi nzima aisee haitekelezeki!
Ingekua Kenya sawa, ila Tanzania hii vijana wengi Vilaz* tu hakuna kitu kitatokea
Najaribu kufikiria uchaguzi utazuiwaje?
Tutazuia mabox ya kura yasiingie? Tutazuia mtu asipige kura? Tutachana ballot paper...
John Mrema anadai kuwa dhana ya No Reforms no election ni kukusanya wimbi kubwa la jamii ili kuwaleta pamoja kuhimiza mabadiliko.
Kwani huko mikoani Lissu na wenzake wanafanya kazi gani? Wanakimbiza Mwenge? Wanaimba mama mama mama...Wanamsemea mama kwa kampeni ya asemewe?
Mimi hata...
Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa!
Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
Kuna hoja za msingi zilizoibuliwa na taasisi na watu mbalimbali kwa nyakati mbalimbali kuhusiana na shetia mbaya za uchaguzi na Tume isiyo huru ya uchaguzi.
Tume ya jaji Nyalali mwaka 1991, ilitamka kuwa Tume ya uchaguzi siyo huru, sheria na kanuni za uchaguzi hazilindi uchaguzi kuwa huru na wa...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA Sharifa Suleiman, amewasisitiza Wanawake nchini kuungana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika kudai mabadiliko na kutoshiriki kwenye uchaguzi mpaka pale mabadiliko ya kweli yatakapofanyika.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM.
Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.