maalum

Kikosi Maalum (meaning "Special Force" in Swahili), also known as the Special Battalion or the grand coalition, was a militia of Ugandan exiles formed in Tanzania to fight against the regime of Idi Amin. The unit was founded by and loyal to former Ugandan President Milton Obote, and served as his de facto private army. It was commanded by former army officers David Oyite-Ojok and Tito Okello. Kikosi Maalum took part in the Uganda–Tanzania War, fighting alongside the Tanzanian military against Amin's forces. In course of this conflict, the militia was nominally unified with other Ugandan rebel groups, forming the Uganda National Liberation Army (UNLA) in 1979. After the fall of Amin's regime and Obote's return to power, Kikosi Maalum became the core of Uganda's new national army.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

    Wakuu, Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha. Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa. Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
  2. Genius Man

    uzi maalum kwa wale wenye shida mbalimbali wanaohitaji msaada au ushauri tunduizi

    nimefungua uzi huu kwa lengo la kutaka kusaidia watanzania wenzangu kwa namna moja au nyingine wale wanaopitia changamoto mbalimbali kwenye maisha na kwamba wanahitaji ushauri au msaada wa aina flani ili kuweza kutatua changamoto hizo. Kwa wale ambao wataguswa na changamoto za mtu yoyote pia...
  3. MamaSamia2025

    Uzi maalum wa kujipongeza kwa maamuzi kadhaa mazuri uliyowahi kufanya maishani.

    Karibu kila mtu anajutia uamuzi fulani aliowahi fanya maishani. Na wengi wana majuto kwenye ishu za ndoa na biashara. Kimsingi majuto ni mengi sana. Sasa mimi nimeamua kuandika huu uzi ili TUJIKUMBUSHE maamuzi kadhaa mazuri tuliyowahi fanya na kutuletea matokeo mazuri. Inaweza saidia kuleta...
  4. L

    Mamlaka za China zaweka mazingira maalum kwa ajili ya maisha ajili ya wazee

    Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni karibu asilimia 20 ya wachina wote. Kutokana na maendeleo ya kiuchumi, kisayansi na teknolojia, umri...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Katibu wa CHADEMA Rukwa: CCM walipita bila kupingwa 2019 kama Viti maalum

    Katibu wa Chadema Jimbo la Rukwa amewataka wananchi kuichagua Chadema kwa ajili ya maendeleo ya taifa kwani ndio chama kinachojali wananchi. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  6. Waufukweni

    Mwana FA: Ushindi wa Taifa Stars ni maalum kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

    Wakuu mmesikia huko? Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema ushindi wa Taifa Stars wa bao 2-0 dhidi ya Ethiopia ni maalum kwa Rais Dkt. Samia
  7. Crocodiletooth

    Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  8. Waufukweni

    RC Albert Chalamila: Gari lililobeba mitambo maalum liko njiani kwa ajili ya Uokoaji Kariakoo

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari gari maalum lililobeba greda na mitambo mingine linakaribia kufika Kariakoo kwa ajili ya kusaidia uokoaji wa Watu waliofukiwa na kifusi baada ya ghorofa kuporomoka ambapo amewataka Watanzania kutolaumiana kwa sasa bali kuweka nguvu...
  9. Huihui2

    Mustafa Ahmad Shahadi Kiongozi wa Kikosi Maalum cha Hezbollah Auliwa na IDF

    JESHI la Israel limemuua kiongozi mwingine wa kikosi maalum cha kundi la Hezbollah, Mustafa Ahmad Shahadi katika shambulizi lililofanywa eneo la Nabatieh kusini mwa Lebanon. Taarifa ya jeshi la Israel imesema katika shambulio hilo lililofanywa na jeshi la anga la Israel limemshambulia kiongozi...
  10. Kasongo yeeyee

    MCHENGERWA NA TAMISEMI YAKO FUATILIENI CHATO KUNA UPIGAJI AJABU, HASA KWENYE CHAGUZI NA KAZI NYINGINE MAALUM

    Mhe. Waziri Mchengerwa na wizara yako imulikeni Chato na chukueni hatua mapema. Mambo si mambo kule, hali si hali. Nimepenyezewa taarifa kuwa watumishi wa zoezi la uchaguzi wanadhulumiwa malipo yao kuanzia siku ya kwanza ya uchaguzi hadi leo hii, na hadi sasa zoezi la ugawaji fomu kwa wagombea...
  11. C

    Nahitaji kazi, ni mtaalam wa Nails, makeup and Hair

    Habari ya jumapili, bila shaka mu wazima. Mimi ni dada mchapakazi, Nina elimu ya masuala ya urembo ,namaanisha nails, makeup and hair. Natamani nifungue biashara lakini imekuwa shida kupata mtaji.kwa sasa nimeona itafute kazi ili niweze kukusanya pesa. Napenda kuchukua Fursa hii kuomba...
  12. Roving Journalist

    Serikali kuunda timu maalum kusimamia urejeshaji huduma za usafiri wa vivuko Mafia - Pwani

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
  13. Thabit Madai

    Kuelekea 2025 LGE2024 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  14. Ritz

    Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malen

    Wanaukumbi. Maisha ya kawaida yanaendelea katika Eneo Maalum la Kiuchumi la Bandari ya Imam Khomeini huko Khuzestan huku Israel ikidai mashambulizi dhidi ya malengo ya jeshi la Iran. https://x.com/haiderali099/status/1850040504513163449?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
  15. Lady Whistledown

    Kuelekea 2025 Unadhani "Viti Maalum" vimefanikisha usawa wa kijinsia vya kutosha au kunahitajika marekebisho zaidi?

    Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa. Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri mbalimbali nchini Tanzania, ambako kihistoria, wanawake wamekuwa wakipata nafasi ndogo katika maamuzi ya...
  16. OMOYOGWANE

    Uzi maalum wa kuelezea stress zako na njia unazotumia kukabiliana nazo

    Picha linaanza daktari anakusomea majibu ya vipimo vyako bila kutarajia anakwambia una UKIMWI , ile hali na mshutuko utakaoupata baada ya hapo ndio STRESS zenyewe. Just imagine umesota sana mpaka ukapata kazi mambo yako yapo vizuri, mke wako kajifungua mtoto mzuri wa kike. Bila kutarajia boss...
  17. Waufukweni

    Mwana FA Aahidi Kuboresha Miundombinu kwa Watoto Wenye Mahitaji Maalum Muheza

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) ameahidi kutatua kero zinazowapata Watoto wenye mahitaji maalum Wilayani Muheza ikiwemo kuboresha miundombinu katika Shule wanazosoma, kuwapatia vifaa vya michezo na kuweka uzio katika Shule...
  18. Abraham Lincolnn

    CHADEMA ijifunze; Kuomba/Kupanga tarehe maalum ya maandamano ni sawa na Kinjekitile kumuomba Mjerumani ruhusa ya vita!

    Kinjekitile: mheshimiwa Gavana Tunaomba tuandamane Gavana: Oh karibu Kinjekitile: Ahsante, kama ulivyosikia, tunataka tuandamane Gavana: Bwana Kinje, kwanini Mnataka kuandamana? Kinjekitile: Tumechoka kuwa Watumwa...
Back
Top Bottom