Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) Silvester Mwakitalu, Leo amewasilisha katika Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya Arusha ombi la kuiondoa Rufaa No.155 ya Mwaka 2022 Aliyokua ameikata dhidi ya Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya Na wenzake.
Rufaa hiyo ilikatwa na Jamhuri baada...
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
Mtumiaji wa Mtandao wa Twitter anayejulikana kwa jina la MchiziMox Juni 8, 2023 amechapisha andiko linalosema kuwa aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefariki dunia kwa kupigwa risasi.
Ukweli wa taarifa hii upoje?
Sijasikia jambo lolote la CHADEMA au Mkutano wowote mkubwa wa hadhara ukifanyikia mkoani Kilimanjaro kwa kitambo sana.
Kipaumbele cha CHADEMA ni Kanda ya Ziwa tu na kwa mbali Kanda ya Nyasa
Kulikoni?
Nawatakia Sabato Njema!
Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai.
Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana. Sabaya amekutwa na hatia na amehurumiwa kwenda jela mwaka mmoja isipokuwa ni kifungo cha nje!
Sheria...
Naandika hii si kwa ubaya, nia yangu ni njema kabisa.
Zipo taarifa kwamba Ole Sabaya ameachiwa huru baada ya kukiri makosa, katika uleule mpango tulioutilia mashaka wa Plea bargain, Sabaya amekiri mbele ya Mahakama, pamoja na mengine mengi, amekiri kumsumbua kwa uonevu wa kumsingizia uongo...
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya leo Jumatatu Septemba 26 amefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi akiwa peke yake.
Sabaya anakabiliwa kesi namba mbili ya uhujumu uchumi ya mwaka 2022, huku wenzake alioshitakiwa nao wakiwa wameachiliwa huru baada ya kukiri kosa...
Mawakili wa upande wa utetezi kesi namba mbili ya mwaka 2022, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kuwa hali ya Sabaya ni mbaya baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa Julai 27 mwaka huu.
By Maryasumta...
Mh rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuuwa viongozi wa serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai...
Sisi tulio nje ya CCM hatufurahii kabisa kuona mtu yeyote akiteswa au kuonewa kwa sababu yeyote Ile japokuwa wapo Wana CCM wengi hufurahia kuona mateso ya watu wengine hususani kwa sababu za za kisiasa.Sisi tumejiapiza kuwa tutasema kweli daima na fitina kwetu mwiko.
Naposema ni wakati wa...
Moshi. Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne imeahirishwa hadi Julai 4, 2022 kutokana na upelelezi kutokamilika.
Sabaya na wenzake wanne walifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi leo Juni 20,2022 kwa ajili ya...
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina gani hatukupewa uwezo wa kujua Kesho yetu.
Leo Wakuu wa mikoa willaya wakurugenzi na wote waliokuwa...
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.
Siyo kazi ya Rais au kiongozi yoyote wa ccm kufurahisha tu viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani huku akiacha wanachama wa chama chake wakiteseka.
Kesi ya Sabaya ni ya kisiasa pia imejaa uongo mwingi...
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa.
Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa?
Mwenendo wa kesi...
Kwenye maisha tunayoishi, ni muhimu kujifunza kupitia vitabu hivi,
1. THINGS FALL APART - By Sabaya
Itakusaidia saana kujua kuwa kuna siku madaraka huisha na kutakiwa kuwajibika kwa yale uliyoyatenda iwe Mbinguni au hapa duniani, kitabu hiki kitufundishe kuwa ikifika nyakati hizi ni Muhimu...
Shahidi wa 6 katika kesi ya Uhujumu Uchumi, Utakatishaji fedha haramu na kumiliki Genge la Uhalifu inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya {35} na wenzake sita, Watson Mwahomange{27} amedai Mahakama kuwa Sabaya ni mtu hatari sana na katika Maisha yake...
Arusha. Mke wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jesca Thomas (28) ameieleza Mahakama namna walivyokamatwa na mume wake na askari waliokuwa na silaha jijini Dar es Salaam.
Jesca ambaye ni shahidi wa pili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Sabaya na wenzake...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa saba wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi akiwAmo aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya.
Leo Januari 14, 2022 Hakimu Mkazi anayesikiliza kesi hiyo namba 27 ya mwaka 2021, Patricia Kisinda amesema baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.