Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini.
Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini
====
Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia
Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi.
Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda.
SWALI: Wale...
Hakika kweli mabeberu wanatufanyia timing tu waafrika na watakaa tena kama walivyogawana makoloni safari hii watafanya minada kwa nchi za Afrika zikifikia madeni ya trillion zaidi ya 100.
Tuendele kukopa kulipa mishahara minono na magari ya kifahari !!
Watu 19 wamefariki na 26 kuokolewa kwenye ajali mbaya ya ndege huko Bukoba.Innaa Lilaahi wainna ilayhi raajiuun.
Kwanza ni wazi kuwa ni ajali iliyotokana na mipango ya Mwenyezi Mungu.Shirika la ndege na rubani hawana cha kulaumiwa.Zaidi ni kuwa rubani kwa haraka kabla uchunguzi anaweza...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani.
Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daud Msasi ametaja sababu kuwa ni matumizi yasiyosahihi ya dawa ikiwemo kutomaliza dozi na kushirikiana dawa kwa wagonjwa bila maelekezo ya wataalamu.
Amesema matumizi holela ya dawa nchini yameongeza idadi ya vifo, ugumba na magonjwa ya figo huku homa za matumbo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.