kusikilizwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    Tundu Lissu si wa kupuuzwa, ni wa kusikilizwa kwa makini

    Nimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki...
  2. W

    Nicole amekosa dhamana karudishwa rumande baada ya kesi yake kusikilizwa

    Mwigizaji Joyce Mbaga (32) maarufu kama 'Nicole Berry' leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es salaam amesomewa mashtaka matatu ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na kupokea shilingi za Kitanzania milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  3. kingphisher

    Simba ina haki ya kusikilizwa lakini sio kususa mchezo

    Yaani mmekuwa na muda wa takribani wiki moja ya kufanya mazoezi na maandalizi yenu yote, mmetumia gharama kubwa sana halafu mnasusa mechi kisa kunyimwa kufanya mazoezi usiku? Simba mpo sahihi kusikilizwa, lakini si haileti tija kususa mchezo. Kususa mchezo ni sawa na kujichukulia sheria...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Force Account: Darasa laporomoka Same, lajeruhi 30

    Wanafunzi 30 pamoja na Mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari, Tumaini Jema, iliyopo Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya jengo moja la darasa walilokuwa wakisomea kuanguka kutokana na upepo mkali. Wanafunzi hao pamoja na Mwalimu wanaendelea kupatiwa matibabu katika...
  5. Roving Journalist

    Mapingamizi ya Mwijaku dhidi ya Masoud Kipanya kusikilizwa Oktoba 17, 2024 Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Jaji David Ngunyale. Amri hiyo ya Mahakama kuanza kesi ya mapingamizi...
  6. sky soldier

    Ni wivu ama wanahoja ya kusikilizwa: Wanawake wamjia juu Mchezaji Sadio Mane (31) baada ya kumuoa binti mdogo miaka 18

    Sadio Mane kwa sasa anachezea timu ya Al Nassr, Mshahara wake kila wiki ni takribani dola za kimarekani 830,000 ambazo ni sawa na shilingi za kitanzania bilioni mbili kila wiki. Kwa nchi kama senegal wanafuata sheria za kiislam na kiafrika ambazo zinaruhusu kuanza mahusiano na binti mwenye...
  7. Poppy Hatonn

    Watoto wanatakiwa kutazamwa, siyo kusikilizwa

    Nimeliona sasa hivi hili tatizo la Pauline Gekul. Sikuwepo mtandaoni kwa siku kadhaa. Nasema mambo[maamuzi] yasifanyike kwa mihemuko. Kama kuna mtu ameumia, muadhibu yule Mbunge{Pauline]. Lakini usifanye mambo kwa mihemuko,na kuanza kusema kwamba huyu mtoto bila shaka amepata stress sana.[au...
  8. Erythrocyte

    Rufaa ya DPP kupinga kuachiwa huru kwa Sabaya na wenzake kusikilizwa leo

    Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo . Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE " --- Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
  9. Erythrocyte

    Hatimaye kesi ya George Sanga aliyewekwa Mahabusu kwa miaka 3 kwa kesi ya Mauaji kuanza kusikilizwa

    Taarifa iliyosambazwa na Chadema Duniani kote , inaeleza kwamba Mtuhumiwa wa kesi ya uongo ya mauaji , George Sanga, Mwanachama wa Chadema na diwani wa zamani wa Njombe , ambaye alisingiziwa kesi hiyo ili kumkomesha, baada ya kukataa kujidhalilisha kwa kununuliwa na ccm , Itaanza kusikilizwa...
  10. R

    Hivi wananchi wakikataa rasilimali zisibinafsishwe hawana haki ya kusikilizwa?

    Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana? Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita...
  11. Suley2019

    Shauri la Feisal Salum 'Fei Toto' kusikilizwa leo TFF

    Picha: Feisal Salum 'Fei Toto' Shauri la FEISAL SALUM na YANGA SC linaenda kusikilizwa leo tarehe 04.05.2023 kupitia kamati ya sheria na hadhi za wachezaji. Taarifa kutoka ndani ya TFF zinaeleza shauri hili huenda litasikilizwa majira ya saa 10 alasiri. Sababu ikiwa ni mawakili wa Yanga SC...
  12. BARD AI

    R. Kelly afutiwa mashtaka 10 ya Unyanyasaji wa Kingono yaliyopaswa kusikilizwa leo

    Mwimbaji Nyota wa R&B kutoka kutoka Chicago, ameondolewa mashtaka ya Jinai kuhusu Unyanyasaji wa Kijinsia yaliyotakiwa kusikilizwa Mahakamani leo January 31, 2023. Umuzi huo umetokana na kifungo cha miaka 30 ambacho Kelly anatumikia baada ya kupatikana na hatia katika kesi nyingine za Ulanguzi...
  13. BARD AI

    Rufaa dhidi ya Sabaya kusikilizwa siku 5 mfululizo

    Rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kupinga hukumu iliyomwachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake, imepangwa kuendelea kusikilizwa kwa siku tano mfululizo kuanzia Februari 27, 2023. Rufaa hiyo namba 155/2022 mbali na Sabaya wajibu rufaa...
  14. J

    CHADEMA ni kiboko, Rufaa inachukua miaka miwili kusikilizwa!

    Ni lazima Msajili wa vyama vya siasa nchini aingilie Kati suala hili. Hawa akina Halima Mdee na wenzake wamesubiri takribani miaka miwili Rufaa zao kusikilizwa hii si sawa kabisa. Mambo kama haya huwezi kuyaona CCM
  15. Lady Whistledown

    Sudan: Kesi ya kwanza ya anayedaiwa kuwa kiongozi wa Janjaweed yaanza kusikilizwa ICC

    Mwanamume anayeshutumiwa kwa kuongoza wanamgambo wanaoogopwa na serikali ya Sudan wanaojulikana kama "Janjaweed" akanusha mashtaka kadhaa ya uhalifu wa kivita mwanzoni mwa kesi ya kwanza ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu kuhusu mzozo wa Darfur. Ali Muhammad Ali Abd–Al-Rahman (72)...
  16. dubu

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro adaiwa kuingilia Uhuru wa Mahakama, aamrisha watu kuwekwa Korokoroni hata siku tano bila kusikilizwa

    Salaam Wakuu, Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
  17. M

    Uchaguzi wa Spika huenda usifanyike, kesi ya Mbatia juu ya ukiukwaji wa Katiba katika kupatikana Spika mpya inaanza kusikilizwa

    Kama kweli katiba ilikiukwa juu ya kupatikana spika basi Mahakama kuu itende haki na uchaguzi wa spika usifanyike. Mahakama iwe huru na kufanya kazi yake.
  18. mshale21

    Kesi ya Mbowe, wenzake yaanza kusikilizwa

    Dar es Salaam. Kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi leo imeanza kusikilizwa mahakama kuu divisheni ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapa saa 3:00...
Back
Top Bottom