Nikiri sina miaka mingi sana humu jukwaani ila nilichogundua ni kukithiri kwa mada zinazochochea chuki za kidin kwa kukejeli imani zingine kwa namna moja au nyingine binafsi ni muumin mzuri wa dini yangu japo nina cycle ya watu wengi ambao si wa imani yangu naishi nao vzr na tuna bond nzuri sana...
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana.
Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake.
Pia soma...
Hatua ya mwekezaji Mwingereza kuishtaki Zanzibar kutokana na uamuzi wa serikali ya Dkt Mwinyi kuvunja mkataba wa kukodi ardhi inaweza kuwa na athari kwa mwanasiasa huyo 2025.
Kampuni ya Pennyroyal Ltd imefungua kesi dhidi ya Zanzibar katika Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya...
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara.
Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku 28 za mwanzo baada ya kuzaliwa. Takwimu hizo ni za Mwaka 2020.
Takwimu hizo zimenisukuma kutoa ya...
Kuna wimbi kubwa sana la kughushi nyaraka.
Mikoa kama Morogoro, Dar es salaam na kwingine imekithiri, cha kushangaza. Huduma ya wataalamu wa forensic, kama uchunguzi wa miandiko Jeshi la Polisi limewaweka Dar es Salaam tu.
Kama nyaraka imeghushiwa Tarime, Tandahimba, Kilimanjaro, Kagera...
Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili.
Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums
Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania
Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
Baada ya Jamii Forums kuripoti kuhusu Soko la Kawe kuwa chafu kutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni Jijini Dar es Salaam, mamlaka zimeanza kuchukua hatua ya kufanya usafi sokoni hapo.
Barabara ya kuelekea sokoni hapo imeanza kufanyiwa marekebisho ya kuwekewa vifusi, ambapo awali kulikuwa...
Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu.
Masoko yanaungua kila leo.
Soko Kuu Kariakoo
Soko la Karume
Soko la Mbagala
Soko la Moshi
Soko la Geita
Soko/Mall ya Mwanza
Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu.
Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile.
Uchafu wa wiki iliyopita bado...
Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo, uhifadhi na wanyama pori.
Katika Makala hiyo fupi Dar mpya ambao wamerejea andiko la Gazeti la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.