Habari wakuu,
Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge.
Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi Jumuhiya za Mwenge ratiba yake ya asubuhi ipoje? Yaani zinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.
Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk.
Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo.
Pia, Soma:
Rodri ashinda Ballon d’Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo
Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
Mwili wa aliyekuwa Kada wa Chadema, Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Jijini Tanga, kata ya Tongoni katika kijiji cha Tarugube, baada ya mwili huo kuwasili majira ya Saa 6 ya usiku ukitokea Jijini Dar es Salaam
Akizungumza nyumbani kwa Familia ya Marehemu Kibao, Naibu Katibu Wa Chama Cha...
Habarini Wadau,
Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe,
Miongoni mwa...
Kumekuwa na sintofahamu kwa watumishi wa Halmashauri hii kulazimishwa kuhudhuria sherehe za Muungano zinazotajiwa kufanyika maeneo ya Kamsamba kuanzia tarehe 25/4/2024 na kilele chake ni tarehe 26/4/2024.
Agizo linawataka watumishi hao kufika maeneo hayo kuanzia saa 2:00 asubuhi siku ya tarehe...
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!
miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?
Je...
Habarini wanajamvi,
Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
Harmonize kumpiga beat shabiki ni kitendo cha kuonesha kutokuheshimu mashabiki waliouzulia show yako.
Shabiki katenda wajibu wake wa kuja kwenye show yako, alafu kisa tu kazengua mahala fulani unampiga beat kwamba utampiga kichwa na ashindwe kuamka.
Hii kauli aliyotoa Harmonize sio ya...
KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi.
Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
Wasalaam JF,
Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini?
Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU!
Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania!
Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda rasilimali za nchi tulizopewa na Mungu sisi na vizazi vyetu kama ilivyoanishwa kwenye Ibara ya 27 (1) na...
Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari, Azimio imedai kitendo cha serikali ya Kenya kwanza kuandaa hafla ya maombi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.