Mwanahabari Moses Dola amewasilisha ombi mbele ya Mahakama ya Sheria ya Milimani la kutaka amri ya kuwaruhusu Wafungwa kuhudhuria mazishi ya wapendwa wao
Katika Ombi hilo, Mwandishi huyo ambaye anatumikia kifungo gerezani amesema iwapo kutakuwa na Miongozo na Taratibu zinazoeleweka, basi...
Inatarajiwa mnamo tarehe 27 mwezi huu Samia atahudhuria mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan Hayati Shinzo Abe.
Abe alipigwa risasi iliyosababisha kifo chake.
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo!
Wapo viongozi walioalikwa rasmi kuhudhuria mazishi hayo na wapo walioalikwa jumla jumla kwa kuhudhuria kama viongozi wa nchi za Jumuiya ya...
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili London nchini Uingereza kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II wa Uingereza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Muwakilishi wa Mfalme Charles III, Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi...
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea kudumisha diplomasiano na mahusiano mazuri kati ya Tanzania na Kenya pia Rais Samia Suluhu amezungumza na Rais Mteule wa Kenya, William Ruto na wameafiki kukuza ushirikiano katika biashara, kilimo na usalama kwa manufaa ya nchi zote. Uuzaji wa bidhaa za...
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ataungana na Marais 17, Mawaziri Wakuu, Manaibu wa Rais 8 na Mawaziri 7 wa Mambo ya Nje waliothibitisha kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto.
Samia ataambatana na baadhi ya Viongozi wa Serikali akiwemo Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Mambo...
Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania.
Aidha, inadaiwa pia wawili hao mpaka sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za...
Ilikuwa mwaka 2011 nilipata kazi ya mkataba wa miaka 2 kijiji kimoja cha huko kwa wahaya
Kutokana na kukuta huko bei ya kuku iko chini nilianza kuwanunua kidogo kidogo ili wakiwa wengi niwe naenda kuwapush Town
baada ya miezi mitatu nilikuwa na kuku zaidi ya 40 ambao nilikuwa ninawahifadhi...
Hii Nairobi imeshakuwa global city. Nairobi sasa hivi inahost UN Biodiversity conference na watu wanaohudhuria hii conference wanatoka katika nchi zote duniani.
Crunch Talks Kick Off On Global Pact To Protect Nature
Negotiators from almost 200 countries will begin crunch biodiversity talks in...
Unakosoa agizo la Mungu. Msiache kukusanyika pamoja kama ilivyodesturi ya watakatifu. Unakosa Baraka maana kukaa peke yako wakati huna sababu ni laana.
Rahisi kutekwa na Televangelists wengi ambao ni wajasiliainjili. Kuna watu wameteka mitego kunasa watu wasiojitambua mitandaoni kwa mgonjobwa...
Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
Kura 18 zimemkataa.
Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi.
Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti.
Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua
Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures imetangaza
"Bodi imeamua, kwa muda wa miaka 10 kuanzia Aprili 8, 2022, Bw. Smith hataruhusiwa...
Mwitikio wa Kudhibiti Kifua Kikuu na Ukimwi Tanzania (MKUTA)
Hawa jamaa niseme tu kwamba hawapo serious au hawajui nini wanatakiwa kufanya
Kama mwezi umepita walitangaza nafasi moja ya kazi wakanialika interview kupitia Zoom Meeting, chakushangaza kuna rafiki yangu mmoja nae aliniambia...
Vipi jamani, mambo yameendaje huko?
Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya.
Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera.
Ànatarajiwa kutua Uwanja wa ndege wa Chato(Chato Airport) kuanzia muda wa sa 5 asubuhi kwa Saa za Afrika Mashariki...
Utangulizi:
Kijiografia bahari zinachukua takriban 71% ya eneo lote la uso wa Dunia yetu na kwa nadharia za kisayansi inaaminika kwamba maisha ya viumbe yalianzia baharini. Hivyo basi, kwa vyoyote vile iwavyo, bahari imekua sehemu muhimu kabisa ya maisha ya kila siku ya binadamu. Binadamu...
Baadhi ya vyuo vikuu vya umma nchini Afghanistan vimenguliwa tena kwa mara ya kwanza tangu kundi la Taliban lilipochokua madarakani mwezi Agosti.
Utawala wa Taliban umetangaza kuwa wanafunzi wa kike wataruhusiwa kuhudhuria masomo. Lakini endapo tu watatenganishwa na wanafunzi wa kiume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.