Wakuu.
Mwijaku amwaga Chozi :KEKLEO:
Mtangazaji wa Crown Media, Mwemba Burton maarufu Mwijaku ameonyeshwa kuumizwa na kudai amekumbushwa mbali baada ya kuona Wazazi wa Dkt. Nawanda wakilia kwa uchungu, huku akishauri watu waache kubambikiana kesi ambacho zinakuja kuwaumia wengine wasiokuwa na...
❤️ Thanks everyone for your support and love!
Last month I got interviewed by police for 4 days after arriving in Paris. I was told I may be personally responsible for other people’s illegal use of Telegram, because the French authorities didn’t receive responses from Telegram.
This was...
Yaani siku mkipenyezewa taarifa kuna mhalifu haraka ma tv mshajaza, magazetini nk.
Siku wanahukumiwa mtuonyeshe pia hizo adhabu na somo zaidi ya kutuonyesha pale mnapomkamata mtuhumiwa.
Nilishtuka mkoa mmoja polisi mkubwa anasema wabakaji wanaachiwa ama wanashinda kesi kutokana na mashahidi...
Nyota wa soka raia wa Brazil, Dani Alves anaweza kuachiwa huru kwa masharti kutoka jela kwa dhamana ya Euro Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.8) baada ya kutumikia takriban robo ya kifungo chake cha miaka minne na nusu kilitokana na madai ya ubakaji.
Beki huyo wa zamani wa Barcelona, Juventus na Timu...
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo.
Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
Wanaukumbi.
🛑 Kiongozi wa Hamas Osama Hamdan, katika mahojiano na Al Mayadeen:
• Kuna ukiukwaji uliofanywa na Israel katika kutekeleza usitishaji vita, baadhi ulitokea jana na ulirudiwa leo.
• Hamas waliamua kusimamisha kuachiliwa kwa kundi la 2 la wafungwa, tunawasiliana kushughulikia na...
Rufaa ya DPP dhidi ya Ole Sabaya , ya kupinga kuachiwa huru inaanza kusikilizwa leo .
Mitaani huwa tunasema hivi , " HAIJAISHA MPAKA IISHE "
---
Mahakama ya Rufani leo Novemba mosi, 2023 imepanga kusikiliza rufaa ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, (DPP) dhidi ya aliyekuwa mkuu wa wilaya ya...
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi.
1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini.
2...
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda
Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza.
Ukweli ni kuwa, mwandishi mwenzetu aliitwa na jeshi la polisi na kushikiliwa kwa muda mchache...
Wakati mwingine tuongee ukweli. Mimi ni muumini wa demokrasia. Kuna mtu nchi hii asiyeeleweka. Ni Mwandishi Bollen Ngetti. 2010 huyu Dk. Slaa alimtuhumu kutumiwa na TISS na kuhadharisha viongozi wa Chadema wasimpe ushirikiano.
Wiki tatu zilizopita alisambaza clipu ya video akiliomba Jeshi la...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo...
Mchekeshaji Eric Omondi amesema kwamba kuachiwa kwake kulihakikishwa na mfanyabiashara Gor Semelang'o, ambaye alimdhamini kituo cha polisi.
Mchekeshaji Eric Omondi ameachiliwa kutoka Kituo cha Polisi cha Central Nairobi ambapo alikuwa amezuiliwa baada ya kukamatwa Jumatatu alasiri.
Omondi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi na kuwachia huru watu watatu wakiwemo wanandoa waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi gramu 66.70, baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano mfululizo bila kuendelea na usikilizwa wa upande wa...
Nimesoma sehemu mbalimbali kwamba inasemekana mojawapo ya sehemu ya maridhiano ni wapinzani kuachiwa majimbo kadhaa ya uchaguzi.
Baada ya kutafakari sana kisha ku-connect dots na haya matusi ya viongozi waandamizi wa upinzani dhidi ya bodaboda na makundi mengine ya kimkakati nikahisi inaweza...
Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji.
Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back.
Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023.
Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya...
Mwaka umekuwa na mambo mengi sana, tupunguze stress kidogo.....Ulishawahi kupata aibu hii?
Miaka ya nyuma kidogo nikiwa bado mwanafunzi form 4 nadhani kuna jibaba enzi hizo buzi, likanipa mistari na kuniita mahali jioni, nikajisema si kula tu??? Naenda mie...mida imefika nikachukua simu ya...
Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki
Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.