kizimkazi

Kizimkazi - officially Kizimkazi Mkunguni, but also known as Kizimkazi Mtendeni - is a fishing village on the southern coast of Zanzibar, Tanzania, and was once a walled city. It is situated three miles southeast of the Kizimkazi Mosque (which is located in Kizimkazi Dimbani, commonly known just as Dimbani). In recent years, Kizimkazi has become a major tourist attraction, as daily boat tours are organized to bring visitors off shore to watch bottlenose dolphins and swim with them.

View More On Wikipedia.org
  1. Kinyungu

    Akipatikana Rais toka Tanganyika akodishe/Auze Tumbatu, Mji Mkongwe au Kizimkazi kwa mkataba kama wa Loliondo au Ngorongoro

    Wakuu inauma sana kile kinachoendelea Loliondo na Ngorongoro. Kule ukienda ni kama upo nchi ya kigeni. Hebu vuta picha ya pale kijijini kwako kwenye asili yenu...ghafla wanakuja watu wanawambia mnatakiwa mhame mwende kwenye eneo jipya msilowahi kulifahamu kabla tena mhame kwa lazima. Mkibisha...
  2. T

    Jerald Hando wa Wasafi Media amshambulia vikali Salma Said wa DW kwa kuponda tamasha la Kizimkazi

    Mtangazaji wa kituo cha redio cha Wasafi FM amshambulia mtangazaji wa kituo cha redio DW ya Ujerumani, kwamba huyo mtangazaji alikosea sana namna alivyoripoti tamasha la kizimkazi. Akizungumza katika kipindi cha asubuhi huku akikwepa kutaja jina la mtangazaji na kituo anachotangazia lakini...
  3. Christopher Wallace

    TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki kilele cha siku ya Kizimkazi, Paje, Zanzibar, leo Agosti 31, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha siku ya Kizimkazi - Paje tarehe 31 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/live/Yd55lfWEjZc?si=G-i-dKxF7Y7VfBti Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki katika Usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki usiku wa Samia na Kizimkazi - Paje tarehe 30 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/watch?v=CU8Y0ALcmVw Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi mbalimbali vya Sanaa...
  6. Mganguzi

    Yaliyofanyika Chato yatafanyika zaidi Kizimkazi, samaki ni wale wale kilichobadilika ni mapishi tu

    Kizimkazi festival Haina ubaya wowote ni nzuri kwa maendeleo ya eneo husika na kwa historia ya kiongozi wetu hasa Huko paje! Basi yafanyike Yale yenye manufaa haswaa! Kwa nchi nzima, tuwe makini na upendeleo uliopita kiasi. Kizimkazi festival ni endelevu maana yake itafanyika kila mwaka mpaka...
  7. AbuuMaryam

    Tamasha la Kizimkazi lina manufaa gani kwa taifa?

    Akina Mwijaku na machawa wenzie wote...vyombo vya habari na waandishi wake...baadhi ya watendaji wa serikali. Wamejaa huko kwa kugharamiwa mavazi malazi na chakula. Promo kila redio na TV ni tamasha la Kizimkazi...pesa imelipwa ya matangazo. HILI LINA FAIDA GANI KWA TAIFA? achaneni na hoja mfu...
  8. B

    Rais Samia aweka jiwe la msingi Ujenzi wa Soko la CRDB Kizimkazi Dimbani, Kusini Unguja Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (watatu kushoto) kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya CRDB Bank Foundation, Martin Warioba (kushoto) wakifanya tukio la uzinduzi wa ujenzi wa soko la kisasa la...
Back
Top Bottom