Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo:
1.Kwa wateja...
Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya kuaminika, tunakusudia kukuwezesha kufanya biashara rasmi kwa kuzingatia taratibu, sheria na miongozo...
Habari zenu wakuu.
Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya.
Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi.
Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
Usahihi wa Makonda;
Inaweza ikaamsha watendaji kuwahi majukumu yao kwa haraka na kwa wakati.........si mbaya.
Usahihi wa Mchengerwa;
Desturi hii ikiingia katika akili na damu za watu wetu, ambao wengi wao uelewa wao ni mdogo sana na ambao huchagizwa na mihemko ya kisiasa au kikanda na kikabila...
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu.
Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine.
Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
Habari Wakuu!
Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara
Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
Kuna wakati inatupasa kuendelea kujifunza na kuhimizana kuhusu USHAURI KITAALAMU. Katika jamii ya Watanzania na duniani kote, kuna watu wamejikita katika weledi na pia wenye vipaji fulani. Wengine wana elimu ndogo, za kati, na za juu. Ni wachache wasio na elimu rasmi, ila wana ujuzi na uzoefu...
Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam.
Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara.
Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
Kabla mwanamke hajakukubalia tambua ya kwamba ashapiga hesabu zake na kujua atanufaika vipi kupitia wewe iwe kwa sasa au uko mbeleni.
Ni wanaume wajinga ndio huwa wanaingia katika mahusiano bila malengo.
Ndio maana wanaume hawa huwa wanaishia kutumika na wanawake kwa malengo binafsi, kwa...
Habari zenu watu wa mapenzi.
Iko hivi,kwanza naomba kudiclea interest mimi sio mchoyo wala sina chembe za uchoyo kama ambavyo wengi wenu mngeweza kudhani.
Naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi,so tarehe za mwisho wa mwezi kama hizi huwa natoroka kuja kuwasalimia siku kadhaa then...
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.
Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.
Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Timu ya Simba SC...
Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!!
Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!!
Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana...
Habari wanajamvi,
Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20,
This is daylight robbery and no one care.
Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.