Kwema Wakuu!
Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine.
Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
Waziri wa afya, Ummy Mwalimu ametoa tangazo la kuanza kutumika sheria ya bima ya afya kwa wote Tarehe 16 Agosti, 2024.
Awali bima hii ilikuwa iwe lazima kwa wote na kuleta mjadala mkubwa lakini tangazo la matumizi halijajumuisha kipengele husika.
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali.
Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
Wakuu tuendelee kuvuta subra huku tukiwaomba jamaa waanzishe Vipengele tajwa hapo Juu!
Kama hawatoanzisha hivyo Vipengele na kama Taifa tutaendelea kujipa matumaini "Eti" ipo siku yetu,Hiyo siku tutaisubiria sana na haitotokea!
Nina Jeuri ya kusema hivyo kwasababu,kadiri miaka inavyozidi...
Wataalamu wa mambo ya sheria mtakubaliana na mimi kuwa mkataba wowote halali lazima uwe na kipengele cha kuvunja ambacho kinaeleza ni mambo gani yanaweza kupelekea mkataba husika kuvunjika.
Kwa walio na mkataba wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar je kuna kipengele hicho na endapo kipo kina...
Nimefikiria kua kwenye mtihani wa kidato cha nne na/au cha sita kuwe na kipengele cha video ambacho wanafunzi watajibia maswali.
Kila mwaka NECTA inachagua au inaandaa video yenye angalau saa moja ( one hour length video) ambayo wanafunzi wataangalia na kisha watajibia swali / maswali ambalo...
Nimeona hiko kifungu cha 47(3) kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kufanya maamuzi ya nani apige wapi kura siku ya uchaguzi wa Rais....
Watanzania mnakionaje hiki kifungu? Kinasherehesha haki au ndiyo tunaingizwa mkenge kama wa DP World?
Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
Jamii forum darasa la katiba ni muhimu sana ukizingatia jukwaa hili lina watumiaji wengi na wapita njia wengi nikimaanisha wanaosoma humu na ambao si wenye kujisajili.
Hii changamoto inawafanya vijana wengi washindwe kupata mikopo kutokana na majina ya cheti cha kuzaliwa kutofautiana na form 4 huku hakuna sehemu ya kuattach affidavit hivyo uwezekano wa kupata mkopo ni mdogo sana na kama itakuwa hivi itafanya waforge hivyo vyeti na sio sahihi kama vilivyo
Yatoa Gawio la Shilingi Bilioni 84 Serikalini
Arusha
Kampuni ya Twiga Minerals Cooperation Limited inayomilikiwa kwa ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Barrick Gold Cooperation imeongoza katika kipengele cha Kampuni zenye ubia na Serikali katika utoaji Gawio...
Habari za majukumu great thinkers?
Kuna hii shida kwenye website ya TADB ambayo ni zaidi ya mwezi mzima sasa, kila nikijaribu kuingia upande wa careers inaleta majibu kwamba kuna critical error kwenye website. Ila cha ajabu ni kwamba vipengele vingine vyote vipo sawa na hakuna shida yoyote...
Wadau nipo ovest ichi kipengele kinanichanganya wakuu. Nashindwa kuelewa nakitambukaje.
Kila kitu nipo sawa isipokuwa tu iyo Bima ya afya wanayoitaka wao ya €30,000 sawa na Tsh 80m.
Kunatips za kuitambuka hii. Nataka kwenda kama mtalii au mwanafunzi wa kujilipia.
Moderator nisaidie kupunguza...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
Tangu mjadala wa makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji ikiwemo bandari uanze, hadi sasa sijaona mtu aliyesema kuhusu ubaya wowote wa kipengele cha mkataba na akakidadavua vizuri kisheria nikamuelewa.
Mimi ni mwanasheria, nimesoma mkataba, nimesoma maelezo ya Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.