kiatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzalendo wa Kitanzania

    Ni utani tu ndugu zangu hicho kiatu pichani apewe mchezaji yupi hasa!

    Wadau hamjamboni nyote? Huu ni utani tu ndugu zangu hivyo msiwe na hoja za mihemuko! Nauliza hicho kiatu hapo chini astahili kupewa mchezaji yupi hasa? Karibuni tujadili utani!
  2. Pdidy

    Azam inataka Simba iwe ya pili huku Simba ikitaka Feitoto achukue kiatu cha ufungaji. Unafikiri nini kitafuata?

    Mpira ni anasa kweli kweliii. Huku Azam wakitamani Simba awe wa pili, simba nao wanatamani Feitoto achukue kiatu cha dhahabu ampite Azizi Ki. Ni mechi nzuri itakayoamua uhalisia nini kiendelee kwenye ligi hii na mwisho nini kimalizike.
  3. NALIA NGWENA

    Gamond na Benchi lako la ufundi mnapaswa kutambua kuwa mashabiki tutafurahi zaidi endapo Azizi ki atachukua kiatu cha ufungaji bora

    Gamondi huu siyo muda tena wakumchezesha Pakome dakika za Majeruhi kwani Pakome ana combination nzuri sana na Azizi ki , endapo Pakome akianza naziona hat trick Kwa Azizi k hii ndiyo furaha yetu Wana Yanga SC. Akichukua yule mtoto maneno yatakua mengi sana haswa wachambuzi was mchongo na baba...
  4. Mkalukungone mwamba

    Nani kuondoka na kiatu cha ufungaji bora NBCPL;Aziz KI au Feisal

    Wachezaji hao ndio vinara wa magoli kwenye NBC Premier League ambapo mpaka sasa wamefunga magoli 15 kila mmoja na hadi sasa timu zote zimesaliwa na michezo 3 pekee kutamatika kwa ligi kuu msimu huu Msimu uliopita hadi ligi inatamatika wachezaji wawili wa Yanga na Simba ambapo ni Fistoni Mayele...
  5. G

    Kilichobaki Yanga ni kuhamishia nguvu zote FA, Kina Skudu, Fredy, Mkude wamalizie mechi za ligi kuu na Aziz Ki asaidiwe kudunga abebe kiatu

    Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa. Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao, n.k. wawahi Arusha kujiandaa na nusu fainali ya FA dhidi ya Ihefu Kwa sasa kuhusu ligi kuu yafaa...
  6. Saoka

    Wapi naweza kupata kiatu hiki?

    Wakuu habari zenu, naulizia wapi nitapata kiatu hiki na bei mwenye kujua tafadhali duka na location. Nb.Nipo Dar Es Salaam.
  7. MSAGA SUMU

    Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

    Karibu Afrika. Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu. Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema. Traffic wakipiga tochi wanaona gari...
  8. U

    Magoli ya penalty kumnyima saido kiatu

    Mfungaji Bora wa Ligi ya TAnzania ni fiston mayele, akimpiku Mzee saido aka mstaafu aka mzee wa magoli ya viti maalumu yaani penalty. Makolo kilio kimezidi
  9. Kiboko ya Jiwe

    Jinsi kiatu cha mtu kilivyo ndivyo jinsi alivyo usoni, yaani huakisi uzuri wa sura yake

    Haka kautafiti nimekafanya leo asubuhi hapa Kariakoo. Both kwa ladies and gentlemen. Ukitazama kiatu chake then umtazame sura yake unaona kabisa alistahili kuvaa kiatu hicho . Hata kama kiatu ni Cha gharama mtu akiwa na sura mbaya bado atavaa kile kibaya. Hata kama kiatu ni cha bei chee...
  10. N

    Good news: Wenye nia njema na Yanga huko CAF wamtetea Mayele, kiatu CAFCL ni chake mwaka huu, aibu kwa Karia na Motsepe

    Mungu ni mkubwa sana, baada ya figisu ya kumfungia miaka 2 msemaji aliyeipa ubingwa Yanga baada ya kuukosa kwa miaka 4 ndugu Manara , figisu ziliendelea sana Tukaona wachezaji wa Yanga wakitaka kuvunjwa miguu marefa kimya, adhabu ya Inonga hadi leo kimya, kamati ya masaa 72 huwa ni kuwaadhibu...
  11. T

    Pape Ousmane Sakho (POS) usilewe mafanikio ya kiatu cha goli bora, bado una safari ndefu

    Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy: Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
  12. Slim

    Kiatu kinauzwa

    Kiatu kipya kinauzwa bei 130,000/ size 7 hand made from UK Niko Arusha, ukihitaji pm me
  13. N

    Kiatu cha sakho kama vile ni madini kweli, kina reflect vizuri

    Kina reflect vizuri sana kwenye jua vile vya kwetu sijui huwa vinakuwa polished na kiwi?au mbao za mninga? anyway sakho karudi leo kambini lakini jana pia alicheza vs pyramids ambapo simba ilipigwa magoli 12-0
  14. DOTHRAK

    Natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba,

    Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika. Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana Vans zipo za aina nyingi lakini binafsi natafuta kama hiki rangi iwe nyeusi au kijani kama hiyo...
  15. M

    Yanga shangilieni na muungane na watanzania kufurahia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa!

    Nawahimiza yanga waungane na watanzania wote kushangilia kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa/mtanzania. Wakiati umefika kwa wazawa kupata pia mishahara minono kama ya wachezaji wa nje na kuzidi ikiwezekana!!
  16. makaveli10

    Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

    Wazee nauza kiatu,kimeletwa kama zawadi toka uturuki lakini hakinitoshi. Saizi ya kiatu ni UK 8, Uero 42kama kinavyoonekana pichani. Bei ni pesa taslimu za kitanzani 70 elfu. kipo kigamboni 0659445718
  17. K

    SoC01 Kwanini Mbinu za trafiki kupokea pesa ya kung'arisha kiatu ziwe kivutio kwa wenye vyombo vya Moto?

    UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama. JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
  18. Jackwillpower

    Mgala muueni haki yake mpeni, na tusisahau baniani mbaya kiatu chake dawa

    Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya uhuru ni agizo la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alilolitoa kwa kusema fedha...
  19. Mad Max

    Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

    Wakuu habari. Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/= Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.
  20. Mangungo II

    Unavaa size gani ya kiatu?

    Naam Aisee katika changamoto nazipitia katika haya maisha ni linapokuja swala la kiatu Cha kuvaa . Nina miguu mikubwa sana mguu wa kushoto navaa namba 45 na wa kulia navaa namba 45 na nusu Viatu vya mguu wangu gharama sana Dukani ukitaka vile vya ngozi sio chini ya 100k Na vya mtumba vya...
Back
Top Bottom