kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye Kampeni za Uchaguzi Mkuu siku kadhaa tangu alipogundulika kuwa na Covid 19

    Rais Donald Trump wa Marekani amerejea tena kwenye kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano wa kwanza jimboni Florida siku kadhaa tangu alipogundulika na maambukizi ya Virusi vya Corona. Rais Trump aliwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la wazi huko Sanford; Florida bila ya...
  2. Ngalikivembu

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi ina 'double standards' kwenye kusimamia ratiba ya kampeni kwa wagombea

    Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa ratiba hiyo kwa upande wa CCM na mgombea wake. NEC inaonesha kuigwaya CCM na mgombea wake. Mara...
  3. YEHODAYA

    Uchaguzi 2020 Kinyerezi, Segerea: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. Magufuli

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Pombe Magufuli leo anaendelea na kampeni zake katika jimbo la Segerea Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo atanadi Sera na ilani za Chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, 28, 2020 ========= Hotuba ya Dkt Magufuli...
  4. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu mikoa ya Singida, Tabora na Shinyanga

    Wakuu bado tunaendelea kuwaletea taarifa za Mh Tundu Lissu kutoka popote anapopita kuomba kura. Endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika. ========= Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Tundu Lissu, akiambatana na mkewe, Bi. Alicia Magabe, akimjulia hali Ndugu...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Uchaguzi 2020 Tulikemee hili la Wanafunzi kuachishwa masomo kwa ajili ya kampeni za CCM

    Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano. Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao. Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
  6. Q

    Uchaguzi 2020 Kamati ya Maadili NEC yamfungia Halima Mdee kuendesha kampeni kwa siku 7

    Nimepata Taarifa NIMEFUNGIWA kufanya KAMPENI siku saba kuanzia tarehe 12-18/10/2020. Hukumu ilikuwa imesha andikwa kabla ya KIKAO cha Maadili. TUTAWEKA WAZI USHAHIDI tulio uwasilisha. NJIA moja ikifungwa....tunafungua nyingine.- H Mdee. ----- Kamati ya Maadili NEC imemfungia kuendesha...
  7. Shark

    CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Dah, CCM Mlijua kabisa Leo tarehe 11 October 2020 tutakua na mechi Muhimu ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars v/s Burundi lakini bado mkapitisha Fiesta lenu palepale. Uwanja wote umejaa vipara na zile ni nyasi halisi, kuota tena ni majaaliwa. Uwanja sasa...
  8. Q

    Uchaguzi 2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

    Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana. Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani. Kama...
  9. Q

    Uchaguzi 2020 Kampeni za CHADEMA Kikanda ni mbadala wa TV na redio, ujumbe unafika hadi vijijini kwa muda mmoja

    Tulishuhudia kampeni za uchaguzi wa 2015 Lowassa akizunguka na timu nzima ya viongozi wakuu wa CHADEMA na karibu wabunge wote kila alipokuwa anakwenda kufanya kampeni. Mwaka huu ni tofauti kidogo, tunaona kila Kanda ikijitegemea inatumia ratiba yake siyo kupangiwa na Makao Makuu, ndio maana ni...
Back
Top Bottom