Hapa katikati kumekua na mtiririko mkubwa na wa kushangaza wa kushuka kwa kiwango cha kubadilishia fedha hasa Dollar ya kimarekani dhidi ya Shilingi ya Tanzania.
Hali hiyo ilipelekea watu wengi kujiuliza maswali mengi na kukosa majibu. Wengi walifikiri labda ni matokeo ya uchaguzi wa Marekani...
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
Mwanasheria na Profesa mkongwe kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Issa Shivji, alitoa onyo kwa serikali wakati wa Kongamano la Kitaifa la Ardhi 2024 na Maadhimisho ya Miaka 30 ya Hakiardhi, yaliyofanyika Jumanne, Oktoba 29, 2024.
Akihutubia washiriki, Prof. Shivji alisisitiza umuhimu wa...
Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake .
Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie.
Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa.
Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga.
Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
Moja kwa moja kwenye mada.
Viongozi wa Mji wa Korogwe hamuoni ile barabara ya kuelekea Hospitali ya Magunga? Barabara mpya ambayo inaonganisha mtaa wa Mountain view na Kanisa la Roma imeanza kuleta shida.
Shimo ambalo limeanza kuonekana litaweza kusababisha ajali usiku na pia uharibifu wa...
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
Hii ni kwa wale ambao walipanga vitu vingi kuhusu mwaka 2024, lakini mpaka January inaisha sasa hawajafanikiawa kufanya au kuanza mpango wowote, haujachelewa let's say, ''to us 2024 starts on 1st, February.
January was just definately a free trial'' Kuna waliopanga mwaka huu kuacha baadhi ya...
Maswali yafuatayo ndiyo yamenitoa machozi.
Nimejiuliza kwamba:
1. Kumbe haya ni mataifa 2 tofauti? Kila moja lina katiba yake, wimbo wake, jeshi lake na rais wake?
2. Kwahiyo hivi Sasa Tanganyika inaongozwa na raia wa kigeni??
Hilo swali la 2 ndiyo limeniumiza zaidi.
Mabingwa wa Kihistoria Nchi Vijana wa Africa,Ama Young Africans kwa Lugha ya King Charles wametangaza viingilio vya Match yake dhidi ya Vijana kutoka kwa Farao..Al Ahly Sc.
Hapa walio na kadi ya Uanachama wanaanza kula Matunda na Club itavutia sana watu wengi kuchukua kadi za uanachama Hai...
Dunia =kanuni+utaratibu neno ni ibada pia ni nguvu ukitamka neno mungu ujue umefanya ibada na kwa kupitia neno (MUNGU) unaweza kujikinga na mapepo ya aina yote ila muhimu ni kuamini tu!
Nashangaa mno licha ya dunia kuwepo katika misingi muhimu iliyowekwa na mungu ili kuilinda dunia na...
Leo, naomba kutoa dukuduku langu kuhusu hali ya barabara ya mwendokasi iliyojengwa kutokea Kariakoo Gerezani kuja Mbagala Rangi Tatu.
Kwa taarifa, barabara hii inakaribia kukamilika kwa asilimia 95, na majaribio ya kutoa huduma kwa wananchi yalifanyika hivi karibuni kwa takribani wiki 2...
Baada ya kuonywa mara nyingi na wadau, sasa CCM imeanza kuelewa.
Na mimi kada nilionya huko nyuma, CCM ikiendelea kushupaza shingo, itavuna mabua 2025.
https://www.jamiiforums.com/threads/ccm-kwa-mtaji-wa-ukakasi-wa-suala-la-bandari-kaeni-mguu-sawa-kungolewa.2113301/page-2#post-46992236
Suala...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
Mafundi na wazoefu naomba ushauri.
Gari yangu ninapowasha na gear ipo parking,rpm inapanda mpaka 2000.Nikibadili gear kuweka D rpm inashuka kidogo,hata nikiwa naendesha, nikifika kwenye tuta napunguza mwendo,nikimaliza na kukanyaga mafuta kidogo tu inapanda mpaka 2000,baadae inashuka...
wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?.
=========
Kutoka kwa mdau humu jukwaani.
Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa...
Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa.
.
Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023.
.
Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc.
.
Karibuni Wakuu.
=======
01' Mtanange umeanza Benjamin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.