hawafai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Ni kweli Mbowe hawataki Lissu, Heche, Lema, Msigwa na Wenje ndani ya CHADEMA?

    Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA. Inasemekana kuwa Mbowe anahisi wajumbe hao wa Kamati Kuu wana mrengo wa kuunga mkono harakati za Makamu Mwenyekiti...
  2. MSAGA SUMU

    Pre GE2025 Mohamed Kawaida: Lema aache wivu kwa Makonda, demokrasia iliona wote hawafai 2020

    Mwenyekiti wa UVCCM taifa ndg Mohamed Kawaida amemtaka aliyekuwa mbunge wa Arusha ndg Lema aachane mara moja na CCM pamoja na Makonda na badala yake ambane mwenyekiti kuhusu matumizi bora ya pesa za Chadema. " Nimekuwa namsikia Lema kwa siku kadhaa akimuandama mara kadhaa katibu wangu mwenezi...
  3. S

    Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  4. georgeallen

    Simba achaneni na kocha Nabi; hafai na hawafai kwa lolote. Bora mara mia mumrudishe robertinho

    Nawatahadhirisha simba waachane na Nabi na Kishingo. Hawa makocha hawana jipya la kuiokoa simba kucheza relegation playoff.
  5. Meneja Wa Makampuni

    DED na DC wa Wilaya ya Mtwara Waliohamisha Mradi Hawafai Kukaa Ofisini: Rais Dkt. Samia Amechukua Hatua Sahihi kwa muda sahihi

    Nakupongeza sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya uamuzi wa kuwatimua kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya (DED) na Mkuu wa Wilaya (DC) wa Wilaya ya Mtwara, kufuatia maamuzi yao ya kuhamisha mradi kutoka kata moja kwenda kata nyingine kutokana na...
  6. Mufti kuku The Infinity

    Kuna Watu hawafai jamani: Waliokaa chini wakatengeneza hizi Series nitawaheshimu siku zote

    Kuna Jumong na A man called god zote ni korean, mtaalamu akiwa Song il gook, a.k.a Jumong Jamani tuacheni maskhara, kwa upande wangu, movie/series zitakuja na kuondoka, hizi mbili ni mwisho pongezi kwa wote waliofanikisha hizi series (directors, actors, etc), wamefanya kazi kubwa sana kwa...
  7. J

    Chuki, na wivu kwa watu wa kaskazini ndio chanzo cha kusemwa hawafai

    Sio mpenzi sana wa kuanzisha mada za kikabila, ila ukiona kabila au jamii yako yoyote, iwe ukoo, kabila, nchi, au race inashmbuliwa unfairly lazima uweke mambo sawa Kuna mada imeanzishwa hapa kushambulia "wanawake wa kaskazini" kuwa ni wanawake wasiofaa kutokana na sababu alizozitoa mtoa mada...
  8. kmbwembwe

    Mkiambiwa wahuni hawafai uongozi, yafaa kuelewa

    Kwanini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa Tanesco chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem Tanesco mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  9. kmbwembwe

    Mipango ya upigaji tu: Kwanini Polepole kasema wahuni hawafai uongozi - Mfano wa TANESCO chini ya waziri Januari

    Kwa nini wale Polepole kawaita wahuni hawafai uongozi nitatoa mfano wa TANESCO chini ya waziri wake kijana Januari. Kuingia tu akaja na mipango kemkem TANESCO mmojawapo wa mipango ni huu wa kubadili mita za umeme kuweka za kisasa eti ukilipa tu sio tena unapewa token ukaingize mwenyewe kwenye...
  10. Sol de Mayo

    Nimeachana na vifurushi vya TIGO, hawafai hata kidogo

    Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu. Halotel 1500 MB 750 Halotel 2000 GB1 Tigo 1500 MB 650 TIGO 2000 MB 800 N.k N.k In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
  11. Idugunde

    Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  12. Idugunde

    Hayati Magufuli alikuwa sawia kuwakataa CHADEMA, ni matapeli wa kisiasa

    Utashirikiana vipi na chama kama Chadema hawapo kwa kwa maslahi ya umma bali kwa maslahi ya matumbo yao? Namna taifa linavyokwenda chama makini cha upinzani kisingekubali na kukaa kimya. Kulamba asali na kusahau kutetea maslahi ya umma ni jibu kuwa Chadema ni matapeli wa kisiasa. Hawafai hata...
  13. Idugunde

    Hawa viongozi wa Bavicha waliwabagua wanaYanga na kujiegemeza kwa Simba. Mapambano ya katiba mpya ni kwa Simba FC? Huu ni ubaguzi na hawafai kabisa

    Hawa vijana wanachafua mapambano ya katiba mpya kuyahusisha na Simba Fc. Huu ni ubaguzi wa kishamba na usiofaa kabisa. Hawafai hawa vijana ni washamba sana.
  14. BASIASI

    Bet Pawa wamekuwa wezi, hawafai

    Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi. Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa. Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope hajui upuuzi wa wafanyakazi wake. Muwe makini kama mnahela zenu za kubetia mnataka kupata kwa wakati...
  15. N

    Wateule wa Hayati Magufuli hawamfai kamwe Rais Samia Suluhu, hawakuwa na huruma wala utu

    Samia alichoshindwa kuelewa ni kuwa pamoja na kuwa alikuwa ni Makamu wa Rais hakuumbwa kuwaza au kufikiri au kutenda au kunena au kufanya kitu chochote kama alivyokuwa Mtangulizi wake. Kwanza namna alivyowekwa pale na majukumu ya Makamu yalivyo KiKatiba alikuwa ni mtu passive tu - yaani...
  16. Shahed kamikaze

    Nitashangaa sana kuona wafuatao wakirudi katika nafasi za Ukuu wa Mkoa

    Binafsi nimpongeze mama yetu Rais wa JMT Samia Suluhu Hassan kwa kuanza kazi vizuri na kikubwa zaidi alichonifurahisha ni kuwataka viongozi katika Serikali yake kutumia akili katika kuongoza watu badala ya mabavu, ni jambo jema kwa kweli. Kaanza kwa kutuletea VP Mpango, kateua mawaziri na juzi...
Back
Top Bottom