Mchambuzi wa soka Wilson John Oruma amesema umefika wakati wa Simba SC kuachana na kiungo wao mshambuliaji, Clotous Chama kwani hakuna cha ziada atakachowapa.
Oruma amezungumza hayo ikiwa ni siku chache baada ya Chama kuubeba mchezo wao dhidi ya Jwaneng Galaxy na kuibuka na ushindi wa 6-0...
Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane
Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012.
Akaongoza mamelod 2012-2020.
Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji.
Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
Viongozi wa Simba mnatuonaje?
Mnadhani mashabiki wote ni maamuma?
Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu.
Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba...
Wakuu,
Matokeo ya weekend yametuvuruga Simba kuanzia mashabiki, wachezaji, makocha hadi viongozi! Ni kama hakuna anayejua tumekosea wapi.
Kuna tetesi mitandaoni kuwa kocha Robertinho amepewa game tatu kuamua hatma yake, Azam, Vipers in and out. Huu ni uganga wa kienyeji sio hesabu za mpira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.