Wakuu,
Moshi umeanza kufuka taratibu, maneno haya si mageni kwetu Gerson Msigwa. Hivi ndivyo Magufuli alivyosema kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 Uchaguzi 2020 - Rais Magufuli: Uchaguzi 2020 utakuwa huru na wa haki nini kilitokea?
Tunawalisha ng'ombe sumu kila siku afu eti tunategemea siku ya...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo.
"Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Arusha unaotarajiwa kutumika kwa ajili ya Fainali za AFCON 2027 unaendelea vizuri licha ya mvua kubwa zinazonyesha na sasa umefikia 16% za...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Mama ameifungua Nchi na Sasa Asali na Maziwa vinatiririka na kumiminika Tu hapa Nchini.kwa hakika kila mmoja analamba asali Kiganjani mwake.Embu nisiwachoshe na kuwapunguzia Utamu .
soma hapo chini👎
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matunda ya...
Moja ya best investment ya JPM na atakumbukwa kwa hili ni SGR. God bless you John, Rais Mtendaji.
Tupo kwenye Science na Technology ,digital transformation, artificial intelligence, machine learning, satellite, Blockchain, internet of things, automotous drones, robotics and automations...
Samia ni kama maji, usipoyanywa, utayaoga. Vijana hawa ambao usoni ni wapinzani lakini kwa macho ya rohoni ni CCM lialia wamemwaga pongezi kedekede zilizojaa mazezele (mafuta mafuta).
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amekanusha taarifa za kwamba Shirika la Reli Tanzania (TRC) linapanga kununua injini zinazotumia umeme na diseli ili kuisaidia treni ya SGR umeme unapokatika safari zisikwame.
Pia, Soma: Tanzania kununua injini za disel kuendesha SGR
Akiongea usiku huu...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa muda mrefu sikuwemo katika jukwaa hili lakini natambua mchango mzuri wa wadau wote unaotolewa kupitia jukwaa hili.
Naomba mnikaribishe na tujadiliane kwa afya na kwa maslahi ya nchi yetu.
Assalam Waleikhum
Dar es Salaam. Tarehe 11 Julai 2024: Akizindua msimu wa pili wa kipindi maalum cha televisheni cha elimu ya fedha kwa umma cha zogo mchongo kinachoandaliwa na Benki ya CRDB, Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesifu jitihada hizo zinazolenga kuwakomboa wananchi...
Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini?
Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake.
Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke.
NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
Kuna Wakati mambo ya Nchi hii yanashangaza sana !
Pamoja na kwamba sifahamu vigezo vya Mtu kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali , Lakini natambua kwamba kuwa Msemaji wa serikali ni dhamana kubwa mno , na kwa kadiri ninavyomfahamu Msigwa hakustahili kuwa Msemaji wa Serikali yetu ya Tanzania ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa Viongozi mbalimbali kama ifuatavyo:
Amemteua Ndugu Said Othman Yakubu kuwa Balozi. Kabla ya uteuzi huu, Ndugu Yakubu alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Amemteua...
Wallah sipati picha!
Kwa kijilicho na kwa namna anavyoshupaza shingo, hakika ndugu yangu Msigwa umejiandalia fedheha ya wazi isiyo na kiasi.
Ya nini kushupalia shingo huku misuli ikikukakamaa sehemu "zote" kwa jambo usilo na weredi kwalo?! Ni kweli umeshindwa kuwiwa na kiasi?
Sielewi hata...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema Bandari ya Dar es Salaam haiuzwi wala kubinafsishwa, bali inapangishwa kwa DP World huku Serikali kupitia TPA ikiendelea kusimamia.
Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, TPA ndio wanayo mamlaka ya kumiliki na kuendesha Bandari zote za Tanzania.
Amewataka watu...
Kwenye Mjadala wa Wazi wa Bandari Club House unaoendeshwa na chaneli ya Msemaji Mkuu wa Serikari sasa hivi mambo yamekuwa moto.
Msigwa akipigwa swali gumu tu anamwambia aliyeuliza ajifunze kuwa na uwezo wa kusikiliza, halafu anamkatisha muuliza swali kwa kusema kitu anachotaka kusikia yeye...
Mwanasheria Mohamed Salum amesema kuwa Kauli ya Kusema DP World watamiliki Maeneo yote ya bandari za Bahari, Maziwa na Nchi kavu ni kama posa tu, lakini mchumba mwenyewe atajulikana wakati wa kusaini mikataba midogo ya makubaliano itakayokuja baadae.
Amebainisha kuwa hilo ni jina tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.