Axali gazetʻi (meaning the New Newspaper in English) is a weekly newspaper published in Georgia. It is based in the city of Kutaisi. The paper is published on a weekly basis and is owned by Ekaterine Bobokhidze.
Mwananchi Online limekuwa la hovyo, kila habari tena habari za kawaida tu eti PRIME, kwanza nini maana ya PRIME? Km biashara biashara imewashinda bora muache tu vinginevyo mnajidhalilisha tu.
Habarini wakuu!
Hakika miaka inakwenda. Miaka ya nyuma, magazeti yalikuwa na mvuto sana kuanzia front pages hadi ndani. Yalikuwepo magazeti mengi sana ila Binafsi nilikuwa mpenzi wa magazeti ya Sani na Kiu.
Hao jamaa walikuwa wabunifu sana, kurasa za mbele zilipambwa kwa picha nzuri za mastaa...
Tutateka, kutekwa, na kutekana hadi lini
Na Nkwazi Mhango Fyatu Mfyatuzi
Japo kadhi hii inaonekana kuzoeleka kama siyo kukubalika, fyatu sikubaliani na jinai hii. Siku hizi, katika kaya yetu, utekaji umegeuka dili. Unaweza kutekwa, kuteka, hata kujiteka. Hamkusikia ndata wakisema kuwa kuna...
Wakuu,
Inaonekana kama Sativa is here to stay.
Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini
Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
Tangazo linatolewa kwamba Mheshimiwa Rais anakusudia kutwaa kwa manufaa ya umma ardhi ya ukubwa wa mita za mraba 233,000 zilizopo Manispaa ya Kinondoni na Ubungo Mkoa wa Dar es Salaam na inayohusisha makazi ya watu katika makutano ya Barabara ya Bagamoyo na Kunduchi (Mbuyuni), Sam Nujoma na Chuo...
Wanaukumbi.
⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania:
Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo:
•Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai!
Haya ndiyo waliyosema Guardian.
Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
Kwangu mimi na kwa wale wenzangu tusioegemea upande wa vyama vya siasa ni faraja kubwa kupata gazeti la MWANAHALISI linalotoka kila Alhamisi nchini Tanzania.
Kwangu mimi ni chombo pekee katika Print Media ambako naweza kupata uchambuzi makini{analytical} wa maswala mengi ya kisiasa na...
KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI MTANDAONI NI KUMINYA UHURU WA HABARI
ACT Wazalendo tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la Mwananchi Mtandaoni na kuitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuondoa zuio hilo ili gazeti liendelee kutoa huduma ya habari kwa umma...
Habari ndugu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye gazeti la HABARI LEO la Leo tarehe 04/09/2024 anisaidie jambo.
Nimepoteza vyeti vyangu vyoye vya elimu hivyo ilinipasa kuandaa tangazo kwenye gazeti na Leo ndiyo siku tangazo hili limetoka lakini kwa bahati mbaya nikapatwa na msiba hivyo...
Kauli ya NAPE Jana kuhusu wizi wa kura ilipaswa kuwa kwenye magazeti ya leo kama habari kuu kama ilivyotawala kwenye mitandao ya kijamii. Kutokana na kufinywa kwa uhuru wa habari, magazeti karibu yote yameipotezea kabisa. Ni Nipashe pekee lilipojaribu kuiandika japo kwa woga. Hongera Nipashe...
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na mikutano mikubwa na midogo kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote nipo kinyume na dhana ya kuwaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.