Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?
Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa.
Wewe je? Nini kikitokea leo, siku yako itakamilika kwa furaha?
Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika.
Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
Dah Mimi sio mwanasiasa, ila jambo lililotokea Leo limeniuma sana, nimewaza leo yanatokea kwa wenzagu kesho yanaweza kutokea kwa Familia yangu au watoto wangu, Mwisho nitaishi kwa visasi na chuki..
Naona hii sio siri tena, walioko madarakani hawataki kuachia kwa namna yoyote ile, tumekubali...
Huyo ndugu yangu kafaulu vzr kidato cha nne akiwa na B kwenye masomo yake ya ufundi kasomea electronics and communication engineering(B) , engineering science (B) na masomo yote ya science ana A
Swala la A level hataki kusikia na kama ijulikanavyo tamisemi wamefungua dirisha la kubadilisha...
Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu
Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi .
Mapenzi ya kweli
Ni cha wote
Ushirikina / Ndumba
Bahati
ama kuna cha ziada
Harakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
Naona lawama Kila siku kuwa CHADEMA ikiungana na vyama vingine huwa inavisaliti.
Jee CHADEMA ilishawahi kukisaliti chama gani kingine Cha siasa na hicho chama kilisalitwa katika jambo gani?
Habari wakuu, nahitaji mkopo wa haraka nina shida na kiasi fulani cha pesa, mimi nimuajiriwa mpya wa serikali ila sijatimiza mwaka hivyo kupelekea kukosa sifa ya kupata mkopo kwenye mabanki na taasisi zilizokuwepo kwenye mfumo wa ess.
Nipo mbele yenu kunielekeza nawezaje kupata mkopo kwa...
Habari wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana.
Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono...
Nawauliza mnaobeza mashindano ya kimataifa kwa kuyaita ya akina mama,timu yako iko kwenye mashindano ya jinsia gani?
Maana ya kiume haupo uliishia wapi mi sijui.
Wababe hufika kwenye nane bora kila wakishiriki.
Wewe ambaye haupo kote ni jinsia gani? Au ndio mashoga ndio maana mnajisifu kwa...
Habari za Leo wanajamii forum.
Nimetuma mzigo kwa njia ya posta siku kadhaa zilizo pita kwa EMS.
Sasa niliyemtumia anadai hajaupata lakini nikiutrack napata notification hii kwenye picha hapo chini.
Je mzigo umefika au Bado.
Habari Wana jf?. Nimekuta HII dawa kwenye mkoba wa demu wangu wakati tukiwa lodge yeye alikuwa ameenda bafuni simu yake ikawa inaita, kuangalia kwenye mkoba ndo nikakutana na hii dawa sijajua ni dawa Gani. Kwa anayeifahamu basi. Isije ikiwa nimekanyaga miwaya
for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions.
Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu.
Mimi mtu akinisalimia tu "VEPE .. " basi kanikosa ... Simjib text Hadi kesho . Akirudia Tena bas naachana nae.
Kuna familia ipo jirani na Mimi,ni familia duni Kwa kweli, mke na mume walikuwa watu wa vibarua vibarua TU
Sasa limetokea tatizo Baba amepata stroke, mwili umepooza ni mwaka wa nne huu , akiwa hapo hapo kitandani akapata tena shida ya macho na Sasa macho hayaoni mke ndo anamuuguza Kwa maisha...
Zimetokea bifu maarufu sana za mastaa hapa nchini na zikajizolea umaarufu
1. Ruge na Sugu
Hii ilikuwa bonge la bifu. Baada ya Sugu kumtolea mbovu Rugs na unyanyaji wake wa fiesta
2 TMK halisi na TMK family
Lilikuwa kundi Moja baada ya kutengana aisee ilikuwa bonge la bifu
3 Ali kina na...
Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba
Wakaanza kunifokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.