A vehicle frame, also historically known as its chassis, is the main supporting structure of a motor vehicle to which all other components are attached, comparable to the skeleton of an organism.
Until the 1930s, virtually every car had a structural frame separate from its body. This construction design is known as body-on-frame. By the 1960s, unibody construction in passenger cars had become common, and the trend to unibody for passenger cars continued over the ensuing decades.Nearly all trucks, buses, and most pickups continue to use a separate frame as their chassis.
Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani.
Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji.
Dar...
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga.
Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
Nimewaza sana hili jambo
Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo
Unakuta frame kubwa kalii hatareee
Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu
Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE
V8
JE HAWA WOTE Wanaenda kununua nguoo za ndani ama kuna mengineyoo
Kama wanapata faida kila la kheri
Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu. Kama utahitaji tuonane inbox.
Hello wakuu, kuna mahali nataka kuweka biashara, sasa hakuna frame (chumba) so nataka nijenge mm kwa makubaliano na mwenye eneo,
ENeo la frame ni sqm 35 (7*5), hivyo naomba wazoefu wa ujenzi mnisaidie kukadiria gharama za ujenzi wa eneo hilo, nje sitapakarabati sana, nitakarabat kwa mbele tu...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba 32.5.
bei ni 2m Kwa Mwaka (kubwa) na 1.5m Kwa Mwaka Kwa zile ndogo.Eneo lipo Meta 150 toka frame za...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba 32.5.
bei ni 2m Kwa Mwaka (kubwa) na 1.5m Kwa Mwaka Kwa zile ndogo.Eneo lipo Meta 150 toka frame za...
Hello wajuzi.
Ktk tafiti zangu, nimekuwa ninawaza kujenga Get away houses, Airbnb, na ki sehemu kwa ajili ya watu wanaotaka kuishi ktk mazingira ya nature, around sehemu fulani hivi Pwani.
Mwanzo nilikuwa nataka kujenga kama zile za Safari bandaz, Morden Mud houses, ila katk mizunguko yangu...
Habar wakuu huku ndani,
Hapa kijijini kwetu Moshi kuna eneo zuri potential kwa ajili ya biashara hasa ya duka la reja reja, hardware au site ya tofali za block wamiliki wa hili eneo ni chama cha ushirika wa kahawa KNCU.
Changamoto iliyopo ni kuwa hamna frame yeyote ya kufanya hiyo biashara ni...
Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame.
Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi.
Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
Habari wakuu,
Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk.
Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa.
Natanguliza shukrani
Habari ,
✨✨✨✨✨
Nawaleteeeni fremu ya kupangisha mahususi kwa biashara yoyote ile mfano saluni ya kike , mgahawa wa chakula , duka , mini-market au any designed business
Fremu ni kubwa kindani na ipo karibu na chuo cha KCMC yaani geti dogo unaliona ilo hapo , mida kama hii vyuo...
Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo.
Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4.
Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa...
Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame.
Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
Kipi kinafaa kuanza kati ya plasta au kuweka frame za Milango kwanza? Lengo ni kupata frame ambayo itajaa kwenye kuta vizuri.
Naogopa nikianza kuweka frame ataweka ukubwa Sawa na kuta za Milango hivyo wakipiga plasta haitokua imejaa! Wakipiga plasta then Uje uweke Milango haitokua imeshika...
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7.
Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 300,000 Tu. Unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k
Napatikana Dar es salaam, Bunju B...
Wengi tunapofikiria kufungua frame ya duka, unawaza mahali Pa kuweka bidhaa na dirisha la wateja kuona na kununua bidhaa. Mambo ya muhimu tusiyo yazingatia ni mahitaji ya binadamu anaehudumia duka.
Mhudumu anahitaji kula, anahitaji kwenda haja. Haya ni mambo ya muhimu kwa kila binadamu...
Mamb vp wadau wa JF, ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi
frame iwe na kigai na gypsum yan inshort iwe frame imetulia ,isiwe kubwa sanaaa ,maana bado napambania
kodi kwa mwezi iwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.