Yaaani Unatoa 3M,
Unaletewa 10k Γ 365 = 3,650,000
Faida kwa mwaka = 650,000
Faida kwa mwezi = 54,000.
Faida kwa siku = 1,800, πππ
Wagonjwa wa akili ni wengi..
Issue sio aina ya biashara tuu, japo bado ni ya kufikiria mara mbili, Maana inamaanisha Piga Ua, faida ya Mmiliki wa boda boda(1,800)...