beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohammed wa 5

    Leo zingekuwa zile beki zao Taifa Stars angefungwa

    Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax. ~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri. ~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia ~...
  2. Four-Star General

    Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
  3. JanguKamaJangu

    Beki wa Barcelona: Gerard Pique atangaza kustaafu kucheza soka

    Beki huyo wa kati wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania amesema anatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Almeria, kesho Novemba 5, 2022 kwenye Uwanja wa Nou Camp Uamuzi huo wa ghafla ameutoa miezi mitano tangu avunje uhusiano na Shakira aliyekuwa mpenzi wake kwa muda mrefu...
  4. T

    Simba SC haimtendei haki beki wa kimataifa, Mohammed Ouatara

    Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast Mohammed Ouatara, akaanza kusugulishwa benchi mfululizo. Yaani toka kocha "Mzawa" Juma Mgunda atue...
  5. N

    Kwako Magori: Tunahitaji kiungo mkabaji na namba 9 na beki 2/3 siyo kiungo mashambuliaji

    Dah! Hongereni kwa kufika makundi, imepatikana nafasi ya kujipanga na kukaa sawa ila ndugu zangu kweli mmeridhika kwamba nafasi ya kiungo mkabaji iko sawa kabisa? Putin Kanoute anajitahidi ila kwenye mechi kubwa za presha yule ni straight red card anytime, halafu ni mtu wa majeraha sana. Haya...
  6. Championship

    William Saliba ni moja kati ya mabeki wa kati bora zaidi duniani

    Mwaka 2019, aliponunuliwa na Arsenal kwa paundi milioni 27 akiwa na miaka 18 niliona kama ni hasara. Alikaa kwa mkopo Saint Etienne, Nice na Marseille. Kazi anayoifanya sasa hivi baada ya kurudi kutoka kwenye mkopo ameonesha waliomsajili waliona mbali. Kila la heri kwake katika miaka ijayo.
  7. JanguKamaJangu

    Mwanamke asema beki wa Man City alimfungia chumbani kisha akambaka

    Beki wa Manchester City, Benjamin Mendy (28) imeelezwa kuwa alitumia mashine ya alama za vidole kumfungia mwanamke chumbani kabla ya kumbaka. Hayo yameelezwa Mahakamani ambapo Mendy anatuhumiwa kwa makosa 10 dhidi ya Wanawake 7 (mdogo zaidi akiwa na umri wa miaka 17) anayodaiwa kuyatenda kati...
  8. M

    Je, unadhani 'perfomance' ya Kinidhamu aliyoionyesha leo Beki Henock Inonga inatokana na lipi kati ya haya yafuatayo?

    1. Mshambuliaji Hatari wa Yanga SC Fiston MINOCYCLINE Mayele amemuadabisha baada ya Kuifunga Simba SC goli zake Mbili na akipitia Kwake Beki Inonga? 2. Wana Simba SC tuliomchana live hasa katika Ukurasa wake wa Instagram na Twitter kutokana na Kucheza Kwake na Jukwaa, kupenda Sifa na Kujiamini...
  9. M

    Nimewatizama Kiumakini leo Kipa Manula na Beki Kapombe na kugundua kuwa Mechi ya Derby hawakuwa Wagonjwa bali ni miongoni mwa Wasaliti 9 Simba SC

    Mnaojiuliza na Kuumizwa kama Mimi ni kwanini Simba SC ni sawa na Mke Mkongwe wa Mume Shababi Yanga SC ( nikimaanisha anafungwa muda wowote ule ) majibu ni haya yafuatayo..... 1. Mjumbe Mulamu Ng'ambi 2. Mratibu Abbas Suleiman 3. Kocha Msaidizi Selemani Matola 4. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC...
  10. Chendembe

    Siziamini Beki za Kati za Yanga kimataifa

    Ni maoni yangu tuu Wadau. Pamoja na usajili mzuri tuliofanya, naona tumesahau kupata beki Bora kabisa wa Kati mbadala wa waliopo. Tutapata taabu saana katika hili. Nawasilisha.
  11. GENTAMYCINE

    Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    SIMBA SC KUMBAKIZA MUGALU Habari kutoka ndani ya Simba zinasema Majeraha aliyoyapata msimu huu Chris Mugaluni moja ya sababu inayopelekea uongozi wa klabu hiyo kutomuacha. Msimu huu hakuonyesha makali tofauti msimu uliopita Mugalu alimaliza na mabao 15 katika mechi 19 Chanzo: SportsArenaTz...
  12. hiram

    Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

    Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
  13. M

    Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

    1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6. Anajiamini sana mpaka kujisahau 7. Ana Ushamba ambao haujifichi Nina uhakika kwa Ball Control yake...
  14. 0ozg Tz

    Kichekesho cha beki ghali duniani Maguirre

    Unaambiwa huyu jamaa kila mara anakuwa upande wa timu pinzani. CR7 anataka top four,maguirre hataki. De Gea anamuogopa huyu beki zaidi ya washambuliaji wa timu pinzani. Katika hii picha hapa chini ameamua kuapply kile anachokifanya kwenye mazoezi. Pogba alikula kiatu cha uso.
  15. MSAGA SUMU

    Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  16. M

    Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

    Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya. Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
  17. KELVIN GASPER

    TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Beki wa KMC, Ally Sonso amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na jeraha la mguu. Marehemu enzi za uhai wake aliwahi kuchezea timu za Yanga, Lipuli, Kagera Sugar na Ruvu Shooting.
  18. Doctor Stranger

    Hakuna beki mzuri kumzidi Pascal wawa NBC pl. - Try again

    Hatuwezi kumuacha kiholela bado tunamhitaji kwenye timu. hakuna beki bora kama Wawa Kwenye ligi yetu. - Try again (Mwenyekiti wa simba)
  19. Christopher Wallace

    Kumbe Miquissone anacheza kama beki Al Ahly

    Maisha yapo kasi sana, hana Al Ahly alikuwa na mechi na akashinda 4 mchezaji Luis Miquissone akachezeshwa kama beki. Sijapenda hata kidogo, waarabu wabaguzi sana
  20. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
Back
Top Bottom