beki

Beki is a title of nobility used by the Mongols and other steppe societies in the Central Asia in the medieval period. The exact meaning of the title is disputed, although possibly meant "honored shaman", and while frequently used for noble women, some men also used the title.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wana Simba SC wenzangu tafadhali tumkope Akili Beki Dickson Job na tumpe Mshambuliaji wetu John Boko ili zimsaidie Kiufanisi Uwanjani

    Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana. Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
  2. Christopher Wallace

    Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

    Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi. Endelea na wewe...
  3. marcoveratti

    Beki wa Manchester City anaendelea kusota jela

    kama kawaida ya watu weusi kujisahau akipata pesa ,,basi na mwenzetu ndugu Mendy wa Man city yamemkuta makuu baada ya kurekodi video akifanya ngono na kuisambaza. sasa yuko jela kwa kosa la kumzaririsha mwanadada huyo alie kua akifanya nae ngono na hana dalili ya kitoka Man city i asemekana...
  4. M

    Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  5. M

    Hivi unamtoaje Israeli Patrick Mwenda na kumuingiza Beki mbovu Kibwana Shomary? Kwa hasira nashangilia Benin kwa sasa

    Hili Kocha Paulsen sijui lina nini Kichwani. Halafu amemtoa tena Mshambuliaji mahiri Tanzania nzima John Boko na Kumuingiza Mshamba Lusajo. Kudadeki bora tufungwe tu Benin na kuanzia sasa nashangilia Benin. Mtu kama Feisal Salum ( Fei Toto ) anaharibu na Kurukaruka tu lakini hatolewi...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Vita ya beki tatu na mama mwenye nyumba inavyogeuka fursa mtandaoni

    Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa. Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
Back
Top Bottom