Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya mkazi wa Daraja mbili mkoani Arusha Bi. Neema Kilugala aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru mnamo Machi 24, 2025.
Taarifa ya leo Aprili 02 2025...
Ila Serikali ya CCM Ina maigizo mpaka Shetani anashangaa .
RC Chalamila aliposikika anamwambia Mjamzito kama hawezi kuchangia aende Mumewe ampasue, Kila Neno lilisemwa.
Sasa huko Arusha , Hospital ya Mount Meru kumetokea tukio.
Hili Tukio ni Mama akiomba kusaidiwa apewe mtoto wake akidai...
Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, tarehe 28 Machi, 2025 imewafikisha mbele ya Baraza la Maadili Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita Mhe. Sakina Jumanne Mohamed na aliyekua Katibu Tawala wa Wilaya hiyo Bw. Jacob Julius Rombo kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka.
Kikao cha...
Siku ya Eid El Fitr kutakua na tamasha kabambe Jijini Arusha mitaa kadhaa kufungwa Nyama, pilau, Burudani na DUA kama zote.
Asante Sana Mheshimiwa kutujali
Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha.
Na Mwandishi Wetu.
Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
Nitamshangaa Rais Samia akikubali kugawa eneo lolote la nchi kiutawala, aendelee na msimamo wa mtangulizi wake JPM, Magufuli aliapa asingegawa eneo lolote na akafa na msimamo wake. Kitu muhimu ni kujenga miundo mbinu imara na ya kisasa. Jifunzeni kutoka madiwani wa jiji la Arusha na wa Manispaa...
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika...
Nilipata nafasi nikahudhuria tafrija hiyo fupi iliyoandaliwa na ofisi ya Mkuu wa mkoa Arusha ,
Kuna mambo machache sana nilijionea yaliyonitoa machozi Kwa muda mfupi niliokaa hapo.
Kwanza kabisa watu waliokuja kupata iftari wengi wao walikuwa watu wa kawaida au tunaweza sema watu wa hali ya...
Wasalaam
Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji.
Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
Tumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki
Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka.
Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki.
Kesho asubuhi...
Arusha, 22 Machi 2025 – Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Japheth Asunga (Mb), ambaye pia ni kiongozi wa msafara wa Kamati hiyo, ameongoza ziara ya ukaguzi wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la...
Ndugu waziri wa maji Juma Aweso pole kwa majukumu. Kwa masikitiko makubwa baadhi ya wananchi huku Arusha tumekuwa tunakatiwa maji pasipo utaratibu na mamlaka za maji.Ukataji umekuwa ni wa kibabe na hakuna makubaliano wala maridhiano.Watu wa maji wanafungua mageti ya watu bila taarifa kwa...
Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania
Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo
Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha.
Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025.
Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.