ajira za serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  2. M

    FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Watu wanadanganya kuwa ajira ya serikali ina Job security kubwa, kumbe wanazunguka tu lengo hasa ni kusema ajira ya serikali ina madili mengi salama

    Watu wanavyosema ajira za serikali zina job security maana yake ni kwamba unaweza kupiga dili na ukajulikana lakini usichukuliwe hatua yoyote. Hata warning letter hupewi. Maana kuanzia Mkurugenzi, meneja, mpaka mfagizi na mlinzi wanajuana madili yao. Sasa wa chini au wa kati akiharibu kwanza...
  4. Said Shagembe

    Ajira za Utumishi wa Umma ziwe za mkataba wa muda maalumu kwa kada zote

    Ningepewa nafasi ya kuhudumu kama mwajiri ningebadilisha taratibu zote za UTUMISHI wa UMMA kutoka kuwa ajira za kudumu mpaka mkataba wa mwaka mmoja. Naamini hakuna anaependa kutumika maisha yake yote, hivyo wanaochoka nafasi hizo wawaachie wale wanaozitaka. Hii itaongeza chachu ya utendaji...
  5. Said kinyombe

    Namna ya kujiandaa na interview za Serikali (ajira portal)

    Habari wadau, naomba niulize kwa aliyewahi kufanya interview za ajira portal, hususani hizi za MDAs kwa kada ya TOURISM OFFICER II maswali yake nitegemee yawe vipi kwa ile ya written na oral Asante nawasilisha
  6. Kyambamasimbi

    Naomba ufafanuzi, unapomuambia muomba ajira akahakiki vyeti kwa mwanasheria maana yake hizo taasisi haziaminiki?

    Naomba ufafanuzi jamani mimi huwa sielewi. Unapomwambia muomba ajira za serikali akahakiki vyeti kwa mwanasheria kwamba kwenye vyeti kunakuwa na SHERIA zimekosewa au wanaotoa hivyo vyeti hawaaminiki? Au ni kuufanya mfumo uwe mgumu tu? Sio mwanasheria Mimi naomba ufafanuzi. Waangalie hizo...
  7. Macbook pro

    Wataalam walioko kwenye Ajira za serikali ni mambumbu ukilinganisha na hawa wanaojiajiri huku kitaa.

    Habari zenu wakuu!? Natuamini mko pouwa kama unaumwa au una smongo wa mawazo basi polee mkuu, yanamuda tu yatakuwa poua. Niende kwenye maada. Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya ambapo kwa kuona na kusikia nimekumbana nao. Nianze na haya maeneo ambayo kiukweli ni janga kubwa! Wataalamu wa...
  8. Wakusoma 12

    Serikali mtakapotoa ajira za kada za elimu na afya ambazo wahusika Huwa hawafanyiwi usaili basi muwachukue wale waliomaliza miaka ya nyuma

    Inaendelea kutoka kwenye heading..... Tofauti na hapo mnakuja kuleta maada. Haiwezekani Hawa vijana wamemaliza chuo fani moja mfano mwalimu wa masomo ya Chemistry na biology ama history na literature amemaliza 2016 lakini hamjamuajiri unakuja kumuajiri mwalimu wa masomo hayo hayo aliyehitimu...
  9. Gilbert Prudence

    Kujitolea kisiwe kigezo cha kupata ajira za serikali

    AJira ni haki ya kila Mtanzania na kigezo cha kwamba wanaojitolea ndo wapate kipaumbele. Kujitolea huo ni utashi binafsi na kujitolea itachangia kiasi kikubwa kwa serikali kuto toa ajira wakijua kuwa kuna watu wanafanya kazi bure. Serikali inatakiwa kufanya kazi yake ya kuwatafutia kazi vijana...
  10. sky soldier

    Enyi Vijana, chezeni kwenye ajira za serikali lakini ajira za makampuni / biashara binafsi muwe serious sana na kazi, kufukuzwa ni instantly

    Nayaongea haya mchana huu ikiwa nimepigiwa simu na kijana graduate niliemtaftia kazi mwezi wa 11 mwaka jana kuniambia kafukuzwa kazini, ishu yake ni kwamba alikuwa mtu wa kutoka toka muda wa kazi. Ajira za serikalini mambo ya kutoka wakati wa kazi yamezoeleka, waweza fanya masihara utavumiliwa...
  11. K

    Mliopata ajira za serikali wasaidieni wale walokosa ajira kinamna hii

    Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu. Lengo la uzi ni kuwaomba wale wote waliochaguliwa ajira serikalini na kwa hakika katika hao kuna...
  12. N

    OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  13. M

    Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  14. K

    Huu ndio unaweza kuwa muarobaini wa ajira za serikali kutolewa kwa upendeleo?

    Kulingana na namna malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye suala la namna ya kutuma maombi ya ajira za serikali kupitia mfumo uliopo kwa sasa ambao maombi yote hupitiwa na binadamu ambao uzoefu unaonesha kuwa huwa na maslahi ya binafsi ya wazi ama kificho kwenye kuchagua waombaji wapi wapatiwe...
  15. Son.j

    Msaada: Niko njia panda, niendelee na mishe zangu au niombe ajira za Serikali?

    Husika na mada hapo juu. Mimi ni mhitimu wa diploma ya elimu since 2017. Mwaka 2019 nikaaply degree na nilichaguliwa lkn sikwenda baada ya kuwaza sana nikaona nifanye mishe kwanza kwa hela kidogo nliyonayo badala ya kupoteza 3 yrs chuo alaf nianze kuhangaika na ajira, nikiwaza kwamba nitaenda...
  16. Opportunity Cost

    Ajira Serikali: Kwa tafsiri ya Serikali, ajira ni za walimu na watu wa afya pekee au?

    Habari zenu wadau. Tangu nimeanza kusikia ishu ya kuwepo na tatizo la ajira nchi hii mara zote wanaozungumziwa kukosa ajira inaonekana ni watu wa sekta ya Elimu na afya. Hii dhana miongoni mwa viongozi wa serikali inashangaza Sana, kwamba hata wanapotangaza kwamba wataajiri watu kadhaa basi...
Back
Top Bottom