Jana niliandika katika mtandao wa X ambao zamani ulikuwa ukiitwa Twitter kuhusu kodi kubwa 150% zinazotozwa na serikali ya Samia Suluhu unapoagiza gari nje. Kuna watu waliibuka na kusema kodi kubwa inasababishwa na umri wa gari linalozidi miaka 10. Kwamba ukiagiza gari ambalo ni chini ya miaka...
Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania.
Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora.
Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.
Asanteni wote mliopaza sauti.
Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka polisi Mbeya.
Mwamlima amekuwa akiwakosoa wabunge na madiwani wa mkoa wa Mbeya akiwemo Tulia, Mulugo na...
Tayari DP World wameshachukua udhibiti wa bandari ambayo ni urithi wetu kutoka kwa Mungu.
1. Mpaka sasa Rais hajaweka wazi Tanzania itapata Tsh. ngapi kwa mwezi kupitia mapato ya bandari ambayo kuanzia sasa yatakusanywa na DP World kama taarifa ya TPA niliyoambatanisha hapa inavyoeleza.
2...
Silaha ya kivita inamilikiwa na serikali Ole Sendeka kashambuliwa na silaha ya kivita ila anadai waliomshambulia si serikali. Katika mazingira hayo nimejikuta najiuliza maswali yafuatayo:
๐ทSasa akina nani nchi hii wanayo nguvu ya kumiliki silaha ya serikali wakati wao si serikali?
๐ทJe watu hao...
๐๐๐ฎ ๐๐ต๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐บ๐ฒ ๐ต๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐จ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐๐ถ ๐ธ๐๐ฎ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ด๐๐๐ถ ๐บ๐ธ๐๐ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ ๐๐๐ฎ๐ธ๐๐บ๐ฏ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ณ๐๐ธ๐ผ.
Nimemaliza kusoma sheria namba 02 ya mwaka 2024 inayoanzisha muundo wa Tume ya Uchaguzi; na nimemaliza kusoma sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba 01 ya mwaka 2024...
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia...
Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu...
Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda wake Bw. Macky Sally alipotaka kubadili Katiba ili aendelee kuongoza muhura wa tatu.
Mwaka 2021...
16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji...
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.
Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
Sikuandika kichwa cha habari hivyo. Nawasiliana na Jamii forums waniambie imekuwaje kichwa cha habari kiwe hivyo wakati mimi niliweka ๐ก๐ถ๐บ๐ฒ๐ป๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ฏ๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ฎ ๐๐๐ฆ ๐๐ถ๐น๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฏ๐ผ๐ป๐ด๐๐ฒ ๐ป๐ฑ๐ด. ๐๐ฎ๐ฐ๐ผ๐ฏ ๐ฅ๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐ถ๐ฏ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ๐น๐ถ.
Sikuandika kichwa cha habari hivyo. Nawasiliana na Jamii forums waniambie imekuwaje kichwa cha habari kiwe hivyo wakati mimi niliweka ๐ก๐ถ๐บ๐ฒ๐ป๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ถ๐ฏ๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐น๐ฎ ๐๐๐ฆ ๐๐ถ๐น๐ฎ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ ๐ฏ๐ผ๐ป๐ด๐๐ฒ ๐ป๐ฑ๐ด. ๐๐ฎ๐ฐ๐ผ๐ฏ ๐ฅ๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐ถ๐ฏ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐ฒ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ๐น๐ถ.
Ndugu watanzania wenzangu wavuja jasho wa nchi hii, hiyo sauti mnayoisikia ni ya katibu tawala DAS wilaya ya Mbongwe mkoani Geita akiiba mafuta ya serikali kwenye moja ya vituo vya mafuta vilivyopo wilayani hapo.
Tukio hili limetokea January 2024 katika kituo cha mafuta kiitwacho Minzingo...
Je ni sahihi wananchi kujichukulia sheria mkononi wakamuua RPC wa Arusha? Kama sio sahihi basi tunataka kuona askari wa usalama barabarani Arusha waliojichukulia sheria mkononi kwa kumuua Omari Msamo wanafikishwa mahakamani. Huu ujinga wa polisi kujiona wako juu ya sheria na wanaweza kufanya...
Ilikuwa saa 5 usiku Machi 17, 2021. Nilikuwa ndani ya gereza la Ruanda mkoani Mbeya, selo namba 16. Kelele za selo nyingine zilinishitua. Ikizingatiwa kuwa kelele haziruhusiwi nyakati za usiku mpaka pale kunapotokea tatizo, kwani kelele hutumika kama dalili ya kuwepo tatizo kwenye selo husika...
[emoji841]Magufuli kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alikopa trillion 37 akajengea SGR, bwawa la Nyerere, akanunua ndege, Kijazi interchange ubungo na 6 way mpaka Mbezi mwisho.
Magufuli hata kama aliiba lakini angarau alionyesha matokeo ijapo aliwadanganya wananchi kuwa matokeo hayo ni pesa zetu...
Kuna taarifa za uwepo wa mgodi mkubwa wa madini katikati ya msitu huko Kitunda Tabora mpakani na Singida. Inadaiwa mgodi huo upo kwa siri na haujulikani katika mfumo wa serikali isipokuwa viongozi wachache ambao ndio waliohusika kuuza eneo hilo kwa maslahi binafsi.
Kutokana na usiri huo hakuna...
Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa dereva huyo aliyekuwa mwajiriwa katika kampuni hiyo ya ASAS alisababisha hasara hiyo katika safari yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.