Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 62
- 1,246
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora.
Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.
Asanteni wote mliopaza sauti.
Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.
Asanteni wote mliopaza sauti.