CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 4,859
- 8,160
Wachana na kichwa cha habari twende kwenye maudhui,wewe kama mzalendo una maoni ganiKichwa cha habari na kilichopo ndani ni mbingu na ardhi .Bila shaka itakuwa mleta mada alikuwa ameshajipakia na kujifukiza mibangi yake kichwani kama kawaida yake kuvuta bangi bila kipimo wala kikomo.