Hali ya jangwa imekuwa mojawapo ya changamoto kubwa zaidi za kimazingira zinazowakabili wanadamu, kwani inasababisha dhoruba nyingi za mchanga na vumbi, kuhatarisha usalama wa chakula, kufanya jamii zihame makazi yao na kuchochea migogoro.
Disemba mwaka jana wajumbe kutoka duniani kote...
Kwenye ufunguzi wa mkutano wa bunge la umma uliofanyika hapa Beijing, Waziri Mkuu wa China Bw. Li Qiang amewasilisha ripoti ya serikali inayokadiria ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu kuwa asilimia 5. Makadirio hayo yamefikiwa kwa kuzingatia utulivu wa ndani, na maendeleo ya hali ya...
Katika miaka ya karibuni, China na Afrika zimehimiza ushirikiano wao katika sekta mbalimbali kwa njia ya kiuvumbuzi, mfano ukiwa ni karakana ya Luban, ambayo imekuwa alama ya ushirikiano kati ya pande hizo mbili katika mafunzo ya ufundi stadi.
Karakana ya Luban ni sehemu ya ushirikiano kati ya...
Katika bara zima la Afrika, vijana sio tu wamekuwa washiriki, bali ni sehemu muhimu ya kuongeza kasi ya mageuzi ya bara hilo. Kwa mujibu wa Umoja wa Afrika na Benki ya Maendeleo ya Afrika, bara hilo ni makazi ya idadi kubwa ya vijana duniani, likiwa na zaidi ya watu milioni 400 wenye umri wa...
Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza uwazi na ujumuishi, usawa na kufunzana, Pendekezo hilo limetoa hekima ya China katika kukabiliana na...
Wiki hii, serikali ya Trump ilitangaza tena kuongeza ushuru wa 10% kwa bidhaa za China zinazouzwa Marekani kwa kisingizio cha suala la Fentanyl na mengineyo, huku pia ikiongeza ushuru wa 25% kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico. Hatua hii sio tu kwamba ilisababisha pingamizi kutoka kwa China na...
Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
Lugha ya Kichina inaendelea kupata umaarufu katika nchi na sehemu mbalimbali duniani, na vijana wengi wanapenda kujifunza lugha hii kwani imekuwa ni daraja la kuunganisha tamaduni za nchi mbalimbali.
Miriam Wambui, binti wa miaka 13, anazungumza lugha hii ya Kichina kwa kujiamini sana kama...
Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
Akiwa na umri wa miaka 70, Tuma Saidi Hamadi kutoka kisiwa cha Pemba, Zanzibar alikuwa katika hatihati ya kupata upofu, lakini maisha yake yalibadilika ghafla baada ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China kumfanyia upasuaji wa mtoto wa jicho na kurejesha uwezo wake wa kuona.
Safari ya...
Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio.
Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
Filamu ya katuni (uhuishaji) ya Kichina "Nezha 2", ambayo ni muendelezo wa "Nezha 1: Kuzaliwa kwa Mtoto wa Shetani" hivi karibuni imefuatiliwa sana kote duniani. Baada ya kuingia kwenye nafasi ya tano katika mapato ya filamu zilizoonyeshwa kanda ya Kaskazini ya bara la Amerika na ya tatu huko...
Februari 10 hadi 11, Mkutano wa Kilele wa Hatua za Akili Bandia (AI) ulifanyika mjini Paris, Ufaransa, huku program ya akili bandia ya China DeepSeek toleo la bure inayovutia macho ya dunia nzima ikipelekea nchi mbalimbali kutambua tena uwezo wa uvumbuzi wa China na kuitumia China kuendelea...
Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na Shirika kuu la utangazaji la China CMG linalojulikana kama “Chunwan” linarushwa hewani kwa ajili ya...
Katika miaka ya hivi karibuni Marekani imekuwa ikitekeleza kile inachokiita kurudi Afrika, sera ambayo hapo awali ilitajwa kuwa ni kurekebisha makosa ya kisera na kutambua umuhimu wa kimkakati wa bara la Afrika, sio tu kwa siasa za ndani za Marekani, bali pia kwa uchumi wa Marekani na nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.