Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000 . Kazi masaa 12. Yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.

Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku , hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.

Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.

Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.

Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena .
Na bado hapo Serikali haijamuibia huyo mfanyakazi kwa kupitia PAYE, magumashi ya bima ya afya, magumashi ya mafao na vikokotoo vyao. Inasikitisha.
 
Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.

Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.

Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.

Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.

Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
ongeza bidii katika kufanya kazi kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe🐒

ukijipanga na kasavingi kidogo, njoo shamba msimu wa kilimo, na ndio itakua mwisho wa manung'uniko na malalamiko bali long smile na kicheko cha haja baada ya muda mfup tu 🐒
 
Aisee ndio maana tunatakiwa kumshukuru MUNGU sana kwa kile unachokipata hasa wale waajiriwa wenye mishahara inayoanzia 500k kwenda juu.

Unakuta mtu anafanya kazi ngumu NON STOP.. RISK telee

Kumbuka hapo akijichanganya akaingiza miguu/mikono kwenye mashine hiyo ni juu yake.. Mwajiri kesho analeta PUNDA mwingine apige kazi ww utajuana na ndugu zako huko.
 
Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.

Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.

Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.

Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.

Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
haya mambo wazungu walipitia mwaka 1600 to 1800 mwishoni huko ndio kulikuwa na unyonyaji wa design hizi huko ulaya maana hakukuwa na sera wala sheria za kuwalinda wafanyakazi.

ila cha ajabu sasa leo mwaka 2024 nchi yetu inasera, miongozo na sheria za kuwalinda wafanyakazi hawa lakini wamiliki wa hivyo viwanda bado wameachwa wafanye wanavyotaka mafano kima cha chini kwa sasa kwa siku kwenye viwanda kwa mijibu wa serikali ni tsh. 5,770 kwa siku. kwa wiki 34,618 na kwa mwezi 150,000= bado unajiuliza inakuwaje mhindi mmoja mjinga tu amelowea hapa nchini anawatumikisha ndugu zetu kwa ujira wa 3,500/= kwa siku na bado anakenuliwa meno na viongozi wetu.

je hawa viongozi wetu waliojaa kama utiriri kuanzia serikali za mitaa, kata, tarafa, wilaya, mkoa wanatusaliti au ni wamelogwa au ni nini!

pia hii sheria inatakiwa itamke wazi kabisa haya malipo ni kwa masaa mangapi maana ukisema kwa siku mwingine anawafanyisha watu kazi saa moja asubh hadi saa moja jioni nayo ni siku sheria zetu wenyewe zinatukandamiza haya ni maajabu kabisa.

hivi hakuna wanasheria wanaweza kujitolea kusimamia hivi vitu ili wananchi wanyonge wapate haki yao.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-03-15 at 15.48.51.jpeg
    WhatsApp Image 2024-03-15 at 15.48.51.jpeg
    64.1 KB · Views: 8
haya mambo wazungu walipitia mwaka 1600 to 1800 mwishoni huko ndio kulikuwa na unyonyaji wa design hizi huko ulaya maana hakukuwa na sera wala sheria za kuwalinda wafanyakazi.

ila cha ajabu sasa leo mwaka 2024 nchi yetu inasera, miongozo na sheria za kuwalinda wafanyakazi hawa lakini wamiliki wa hivyo viwanda bado wameachwa wafanye wanavyotaka mafano kima cha chini kwa sasa kwa siku kwenye viwanda kwa mijibu wa serikali ni tsh. 5,770 kwa siku. kwa wiki 34,618 na kwa mwezi 150,000= bado unajiuliza inakuwaje mhindi mmoja mjinga tu amelowea hapa nchini anawatumikisha ndugu zetu kwa ujira wa 3,500/= kwa siku na bado anakenuliwa meno na viongozi wetu.

je hawa viongozi wetu waliojaa kama utiriri kuanzia serikali za mitaa, kata, tarafa, wilaya, mkoa wanatusaliti au ni wamelogwa au ni nini!

pia hii sheria inatakiwa itamke wazi kabisa haya malipo ni kwa masaa mangapi maana ukisema kwa siku mwingine anawafanyisha watu kazi saa moja asubh hadi saa moja jioni nayo ni siku sheria zetu wenyewe zinatukandamiza haya ni maajabu kabisa.

hivi hakuna wanasheria wanaweza kujitolea kusimamia hivi vitu ili wananchi wanyonge wapate haki yao.
Utumwa .
Yaani serikali ndio kibaraka wa utumwa
 
Hao ndo wapiga kura mkuu,utawaambia nn kuhusu ccm.
Bongo Bora uhai.

We nenda Kila j3 uone foleni,afu urudi hapa.80%ya kazi ambazo watz wanaofanya malipo Kwa siku hayazidi 5000
Hali ni mbaya mno , nimewahi fanya kazi ya fani kwenye kiwanda , Ila casual labourers mazingira ya kazi ni mabovu mno ,
Na hapo hicho kiwanda nilichokuwa nafanyia kazi ndio kina afadhali sasa , nyiee
Nchi ya kisenge sana hii

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom