Dkt. Mpango: Kuongoza nchi ni kazi ngumu sana. Wananchi tuombeeni Viongozi wa Serikali tutende inavyompendeza Mungu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,058
143,826
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.

Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili.

Pia Dr. Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili.

Chanzo: Upendo TV
 
Makamu wa Rais mh Dr Mpango amesema kuongoza nchi ni Kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi

Dr Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili

Pia Dr Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu Watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili

Source: Upendo TV
Kama ni kazi kwani kalazimishwa???. Aachie ngazi.
 
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.

Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili.

Pia Dr. Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili.

Source: Upendo TV
 
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.

Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili

Pia Dr Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu Watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili.

Source: Upendo TV
Ingekuwa kazi ngumu wangepora uchaguzi ili kukaa madarakani? Wanapora uchaguzi ili wakae madarakani kwa shuruti kinyume na mapenzi ya Mungu, kisha wanachora watu eti waombewe!
 
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.

Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili

Pia Dr Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu Watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili.

Source: Upendo TV
This site can’t be reached

portal.madini.go.tz is currently unreachable.
ERR_CONNECTION_FAILED
 
Makamu wa Rais, Dr. Mpango amesema kuongoza nchi ni kazi ngumu hivyo amewaomba Wananchi wazidi kuwaombea Viongozi.

Dr. Mpango amesema hayo katika Ibada ya leo Jumapili

Pia Dr Mpango amewataka Wananchi kuwaangalia kwa karibu Watoto wao wadogo hadi wale walio vyuoni Ili wasikengeuke kimaadili.

Source: Upendo TV
MNAPENDA KUOMBEWA MBONA WANANCHI WANAWAOMBA KATIBA MPYA HAMTAKI?
 
Wizi umekithiri mpaka wanajionea aibu wanapoenda kusali maana wanaona wanamkejeli Mungu

Hawajui kuwa kuwepo madarakani ndio laana zitazidi kuwatafuna
Maana kama hukemei au kulifanyia kazi basi na wewe umo katika ushirika huo

Hofu ya Mungu maana yake hufanyi kinachomchukiza Mungu
Maamuzi ni yake
 
Back
Top Bottom