Why Kenyan women are having a hard time finding love in the Diaspora

Mwalimu Nyerere alikosea sana kusisitiza Watanzania kutumia Kiswahili na kuchukia Kingereza maana mnapata tabu sana kwa taarifa ambazo zimeandikwa kwa Kingereza. Yaani hata usome mara ngapi bado haujaelewa kinachosemwa hapa. Na hii ndio mojawapo inayowaponza kiuchumi.
ahahah,Wakenya bado mabogas kweli,lazima kwenye ubishani wazungumzie Kiingereza. kiingereza mnachoongea hata hao waingereza wamekisahau. Mnatumia dictionary kuna amaneno hata hao wazungu hayapo vichwani mwao.

Maneno ya enzi za kale kabisa magumu mno alafu kinakuwa mixed sijui na vilugha vyenu vya kukuyu,luo nk.
 
What can say to my friendly tz if a lady is beautiful and doesn't have brain private part sarver alot, kenya gal are cute,intelligent and have sobber hypothalamus
 
What can say to my friendly tz if a lady is beautiful and doesn't have brain private part sarver alot, kenya gal are cute,intelligent and have sobber hypothalamus
madem wa kenya wako cheap sana yani hata kuringaga mbele ya pesa hawawezi
 
Man, Tanzania top class ladies date Kenyan men all the time and have low opinion on their male counterparts.
Labda wale wa uswazi ndio wamezoea kuwasifia nyie, lakini nenda kwenye corporate world ya Bongo utakuta sophisticated ladies ambao hawaishi kutupenda maana a Kenyan guy kwenye michezo ya classic romance huwa hatuchelewi.
Kamwe kantu haintotokea...hakuna cha classic wala nini...ni kujipa moyo tu...hao wa corporate wanapenda tu kuongea kiingereza cha mbwembwe saaaana na nyie...lakini wanajua mipini ya kweli wanaipata wapi...nyie mnadata nao kwa sababu wa kibongo wako vizuri kuliko wa kwenu
 
Kilichofanya niseme hivyo ni vile majamaa wenu wengi hubonga, unakuta chali anaponda manzi eti ohh sijui miguu kama nini, mara eti mweusi, mara eti mfupi, mara hana hips mara this mara that, yaani insecurity and inferiority mtupu. Jamaa yeyote romantic huwa hananga hizo, demu yeyote anaweza kuwa mtamu, inategemea na vile unam-appreciate.

Bongo nimeishi, na majamaa wengi walikua wanabonga hivyo hivyo afu nimeikuta hata huku JF. Ninavyojua, manzi yeyote ukimpa respect and ufocus na vitu positive, hata kama ako aje, bado atakua msweet. Halafu kuna vitu nilikua nafanya Bongo afu jamaa wananishangaa, yaani ile tu ku-kiss manzi kwa beach, halafu kumdara kama mnatembea inakua kama movie juu watse wanajazana wakiwaangalia. Nilikua nampelea demu wangu kwa beach tunacheza game mob, inakua kama movie hadi inashusha confidence.

siyo kweli......hapa tunazungumzia sexy ,lovely and sweet bodies .....mademu wa kikenya hawana hiyo...tulete picha hapa randomly za mademu bila kujipanga tuone
 
Labda unajifariji tu lakini mi nipo hapa for 7 yrs now....hata hao wa kilimanjaro/Arusha sio wengi waliokamilika chini hadi juu...labda wawe wamechanganyika na makabila mengine..lakini siyo wale pure....wale pure wanafanana na wa Nai hasa kuanzia kiunoni hadi chini ndipo mambo yalikoharibika...maeneo hayo ni vigumu kumpata msichana umbo namba nane na sura ya kuvutia!!!huo ndiyo ukweli...mimi nina girl friend wa kikenya ana sura nzuri lakini kuanzia kiunoni ni majanga...
 
Back
Top Bottom