- Thread starter
- #41
Hajaingilia case iliyo mahakamani,Kama suala liko mahakamani, Silaa ana haki ipi ya kuliingilia? Huo ndio upumbavu nilikuwa nausema.
Amefuata umiliki wa sasa Kwa document zilizoko ardhi inaonyesha nyumba ni Mali ya marehemu,
Case iendelee lakini Mushi akiwa nje ya nyumba hiyo aliyoichukua Kwa nguvu ya pesa.