Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,250
- 12,498
Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.
Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza wa kusogeza nae maisha na hapa ndipo tatizo huanzia, ikitokea kijana akayumba kidogo kiuchumi na akaamua kusafiri safari ya mbali kwa lengo la kutafuta fursa, mwanamke atasafisha kila kitu na kuuza au kukimbilia kwao.
Nimekutana na kesi nyingi sana za aina hii, sasa nauliza wanawake wa kanda ya ziwa je, hii inasababishwa na ujinga ama umasikini?