Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Wanawake wa siku hizi ni tabu tupu...!

Hawafikirii kutafuta hela, bali wanasubiri watafutiwe.... manina zenu, mtapigwa miti na kila mwenye hela, makenge nyie...!
hahahaaa.... umekuwa mkali jamani! Hii ya kutokuwa na hela inakula kwa wote. Wanaume vitonga nao wanapigwa ...ulimi unakuwa mzito kutamka... wanafunga macho wanatoka na wamama wakubwa wenye hela, hawana uhakika wakipigwa vibuti wataishije. Wanaume wa aina hii kama walivyo wanawake ni mizigo kwa dunia. Hana kipato, anamtegemea mwanamke kwa gari, mafuta ya gari, hela ya saluni, ya bia, kodi....kila kitu. Hivi heshima itatoka wapi? Tofauti ya mnyamana binadamu ni kazi. Na kipimo cha kazi unakijua. Uwe wa kike au wa kiume ukiwa apeche alolo utanyanyasika. Watu tafuteni hela kwa bidii, na kama hamtaki au hamna vipaji vya kutafuta basi ingieni kwenye mashirika ya huduma mkatoe huduma kwa wahitaji duniani walau mpate heshima kama Mama Theresa. Sasa wewe hela huna na hutafuti, basi kaa nyumbani lea watoto na kutunza nyumba; nako hutaki, eti ni mwanaume. Khaaaa!
 
Watu wengine bhana,....sasa unavyosema nitagongewa mi inaniumiza nini?..anaeenda kugongwa ni mimi aua wewe?...we kagongweeee kisha namimi nakuja kukugonga haswa,halaf miaka ikienda utakuja na thread zifuatazo hapa jf:
1.''MIMI NI SINGLE MOTHER NAHITAJI MUME WA KUISHI NAE''..na sisi hatutakubali maana ushagongwa sana.
2.''MCHUMBA WA KIUME MWENYE UKIMWI ANAHITAJIKA''....Hutotupata maana tutakuwa wazima wote humu.
Unaringia kugongwa kweli we pweza.
Hahahahahaha...
 
Nimeoa ambaye pesa ni za wazazi wake, yeye kama yeye amekuja kuchuma na mimi, zipo ambazo wanawake kama nyinyi mngezipapatikia mpaka haramu mnaachia na bado yeye hazishobokei... atakayekosea kuoa ni yule atakayeoa mwanamke kama wewe ambaye badala ya kuwa value creator kwa mumeo unakua devaluator... wanawake wapenda pesa wengi hamna sifa za kuwaongezea thamani wanaume zenu, nyinyi ndio mnawafilisi, so atakayekuoa imekula kwake
Hahahaaaaaa!! We jifariji tu.
Ila shida iko wapi? Mkeo alikuwa na chaguzi zake km ambavyo nawe ulitafuta wakwe wenye nazo ili angalau uponeepo kidogo. Sasa na anaetafuta mwenye nazo nae muache afanye uchaguzi wake vivyo hivyo, as long as haukuhusu then chilax right!!
 
Kwani wewe ulikuwa unamuongelea mkeo au huyo kimada wako? Mbona huyo kimada wako kakuomba dera tu povu likakutoka? Mke haongwi bali anahudumiwa.
Sasa umeanza kuelewa notsi.... Vizuri sana.... Hoja yangu
1)kwa Kiria's Theory ilikuwa hapo mke haongwi....

2)ukija kwa huyu "mwanapunda" maana ni wakupandwa tu hana lingine... Ndio aina ya wanawake wa mjini (mnaounga mkono uombauomba).... Hapo nimeongelea madira tu sijaweka mengine meeeengi kila unachoomba ni cha kukufanya utoe tu pesa.... Hamuwezi kuomba hizo pesa mkafanyia biashara!!!!!??? Ukiomba mara nywele mara kucha viatu nguo.... Afu unaomba tena.... Mamaaaa hata kama uwezo ninao sitohudumia mgodi usiojishughulisha hata kama ni kimada.... HAPA KWENYE HOJA YA PILI NDIO WENGI MMEANGUKIA HUMU
 
Mbona bwana ake wa kwanza alikua na mihela lakini ndoa haikudumu?

Natanguliza pole nyingi sana kwa Henry Kilewo.
MWANAMKE WA KICHAGA yeye anachotaka ni pesa tu, kitandani anakuwa gogo...halafu na roho zao tena ni hatari.

Huyu Joyce Kiria ndio type ya huko, kwahiyo usishangae.
 
aiseeeehh!!

umenikumbusha mbali sana!
Kuna a friend of mine nae ana swaga hizi hizi, oooh siombi hela mpaka anipe mwenyewe, kiruuuu!! Oooh tunasaidiana, siku jamaa kaomba amtumie laki maana anashida nayo fasta, akawa hana akanijia na swaga za sijui dogo anadaiwa hela shule na nini.

Nikampa, alipomtumia jamaa hakujibiwa, ikabidi apige simu kuulizia kama jamaa kaipata, si akapokea mwanamke na kumshukuru kwa kuwatumia pesa za kuspend w.end!! Ndio akaja kwangu analia ikabidi anieleze ukweli, nilicheka kimoyo moyo ila nikamjibu tu, independent woman pesa yangu ukumbuke tu kuirejesha.
 
Kuna a friend of mine nae ana swaga hizi hizi, oooh siombi hela mpaka anipe mwenyewe, kiruuuu!! Oooh tunasaidiana, siku jamaa kaomba amtumie laki maana anashida nayo fasta, akawa hana akanijia na swaga za sijui dogo anadaiwa hela shule na nini.

Nikampa, alipomtumia jamaa hakujibiwa, ikabidi apige simu kuulizia kama jamaa kaipata, si akapokea mwanamke na kumshukuru kwa kuwatumia pesa za kuspend w.end!! Ndio akaja kwangu analia ikabidi anieleze ukweli, nilicheka kimoyo moyo ila nikamjibu tu, independent woman pesa yangu ukumbuke tu kuirejesha.
huyo kaka Mungu anamuona.....!!!
 
Back
Top Bottom