Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,279
- 30,847
Mzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa rai kwa wanachuo wote waliosoma na wanaosoma UDSM kwa pamoja tukutane na tuandamane kupinga na kulaani udhalishaji huu kwa msomi profesa na mzee mwenye hekima na busara kurekodiwa na kuitwa dalali wa viwanja.
Vijana tuheshumuni mamlaka, wazee na wasomi wa taifa letu. Kitendo hiku cha professor kudhalilishwa kimelitia doa sana taifa.
Pia tuige mfano mzuri wa Professor alivyotulia bila kubishana na yule kijana mpuuzi.
Professor maintained his cool, local and international exposure and hundle the situation in a conducive manner. He clearly indulged and embarked in a critical anger management manoeuvre and manifesto.
What a character we should learn from this humble gentleman.

Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu
Hii ndio shida ya watanzania, wakipata ajira sijui busara inaenda wapi. Kwani hata ukiwa na mamlaka huwezi kuongea na watu vizuri mkaeleweshana mpaka ufoke? Sasa hata kama hakumfahamu Dr.Kawambwa, alipaswa kuongea nao vizuri tu, na hata kama unampeleka mtu polisi unamueleza kawaida hapa...
www.jamiiforums.com