Siasa ni mchezo mchafu ukishiriki lazima uchafuke.Wasomi wa tz njaa sana, nakumbuka prof muhongo pale geo department alikua mtu makini sana mwenye weledi sana alikua anaishauri serikali positive things alivyopewa ulaji na kuingia kwenye siasa akawa wa hovyo tu na kupoteza credibility kabisa
Kuna mtu alikua anajenga Hoja kama kitila mkumbo? What happened alivyoonja asali?
Nimeangalia clip mara mbili mbili...Hao ndio vijana wa kisasa. Hawajali umri wako wala kitu chochote wanaweza hata kukupiga makofi.
Ila nina uhakika sasa hivi anajutia alichofanya.
Kwa mikoa na wilaya zote za Nchi hii vijana wote na baadhi ya wazee ni wapuuzi.Vijana siku hizi ni wa Hovyo sana... Mbali ya Dr. Kawambwa kuwa kiongozi mstaafu, lakini pia huyu kijana alipaswa amchukulie kama baba yake... Adabu na heshima katika mazungumzo ilipaswa ichukue nafasi... Hata kama Kuna makosa yamefanyika... Badala yake kijana anafooka na kushauti.... stupid kabisa... Nimechukia sana...
Vijana wa Pwani hovyo sana... Ingekuwa mikoa ya Shinyanga,Mbeya,Mwanza,Iringa,Njombe,Rukwa,Katavi,Arusha,Mara,Kagera.... Huwezi kukuta vijana wanafanya ujinga kama huu mbele ya wazee....
Maninaaa zake huyu kijana....Maninaaa.....😬😬😬
Yule kijana ni mpemba....Mzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa rai kwa wanachuo wote waliosoma na wanaosoma UDSM kwa pamoja tukutane na tuandamane kupinga na kulaani udhalishaji huu kwa msomi profesa na mzee mwenye hekima na busara kurekodiwa na kuitwa dalali wa viwanja.
Vijana tuheshumuni mamlaka, wazee na wasomi wa taifa letu. Kitendo hiku cha professor kudhalilishwa kimelitia doa sana taifa.
Pia tuige mfano mzuri wa Professor alivyotulia bila kubishana na yule kijana mpuuzi.
Professor maintained his cool, local and international exposure and hundle the situation in a conducive manner. He clearly indulged and embarked in a critical anger management manoeuvre and manifesto.
What a character we should learn from this humble gentleman.
Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu
Hii ndio shida ya watanzania, wakipata ajira sijui busara inaenda wapi. Kwani hata ukiwa na mamlaka huwezi kuongea na watu vizuri mkaeleweshana mpaka ufoke? Sasa hata kama hakumfahamu Dr.Kawambwa, alipaswa kuongea nao vizuri tu, na hata kama unampeleka mtu polisi unamueleza kawaida hapa...www.jamiiforums.com
Wewe unayetukana tukana ovyo ni kijana wa Pwani ipi vile?Vijana siku hizi ni wa Hovyo sana... Mbali ya Dr. Kawambwa kuwa kiongozi mstaafu, lakini pia huyu kijana alipaswa amchukulie kama baba yake... Adabu na heshima katika mazungumzo ilipaswa ichukue nafasi... Hata kama Kuna makosa yamefanyika... Badala yake kijana anafooka na kushauti.... stupid kabisa... Nimechukia sana...
Vijana wa Pwani hovyo sana... Ingekuwa mikoa ya Shinyanga,Mbeya,Mwanza,Iringa,Njombe,Rukwa,Katavi,Arusha,Mara,Kagera.... Huwezi kukuta vijana wanafanya ujinga kama huu mbele ya wazee....
Maninaaa zake huyu kijana....Maninaaa.....😬😬😬
Nobody is above the law, kama ni kibaka wa viwanja vya watu atiwe roba tuMzuka wanajamvi!
Haiwezekani mzee profesa na aliyehodhi mamlaka na madaraka za juu nchini na kulitumikia taifa letu kwa weledi adhalilishwe na kijana mbele ya camera na kusukumwasukumwa.
Natoa rai kwa wanachuo wote waliosoma na wanaosoma UDSM kwa pamoja tukutane na tuandamane kupinga na kulaani udhalishaji huu kwa msomi profesa na mzee mwenye hekima na busara kurekodiwa na kuitwa dalali wa viwanja.
Vijana tuheshumuni mamlaka, wazee na wasomi wa taifa letu. Kitendo hiku cha professor kudhalilishwa kimelitia doa sana taifa.
Pia tuige mfano mzuri wa Professor alivyotulia bila kubishana na yule kijana mpuuzi.
Professor maintained his cool, local and international exposure and hundle the situation in a conducive manner. He clearly indulged and embarked in a critical anger management manoeuvre and manifesto.
What a character we should learn from this humble gentleman.
Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu
Hii ndio shida ya watanzania, wakipata ajira sijui busara inaenda wapi. Kwani hata ukiwa na mamlaka huwezi kuongea na watu vizuri mkaeleweshana mpaka ufoke? Sasa hata kama hakumfahamu Dr.Kawambwa, alipaswa kuongea nao vizuri tu, na hata kama unampeleka mtu polisi unamueleza kawaida hapa...www.jamiiforums.com
Siwezi kuwa kijana wa Pwani Mimi... Vijana wasiokuwa na adabu kwa wakubwa zao.....Wewe unayetukana tukana ovyo ni kijana wa Pwani ipi vile?