Mkuu, kuna watu wanaheshima zao nchini sio wa kupapatikia, hata uingereza kuna watu wanaitwa Sir wana heshima zao. Huyu beki mstaafu wa mlandege sports club hakupaswa hata kumtizama usomi profIna maana wananchi wengine hawastahili kuheshimiwa? Kila binadamu anastahili heshima. Walimu wako chuoni wamekupotosha. Fikiri kabla ya kusema.