John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
hio shuke ina girls? I mean watoto wapo?
mzee ntaku pm nikiiingia moroTeh teh tukamatane week end hii Mziwanda au Mriti
nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane
Kwani ww unataka kwenda wp mm ni,o mwanga kilimanjaro nataka mtu wa kubadilishana nayearusha hautaki?
Fanya hivi; nenda Kibaha Vijijini katafute nafasi ukiipata rudi Mkuranga, jitose kwa Afisa Elimu au tafauta Afisa yeyote akusaidie kupitisha barua zako.....nafundisha halimashauri ya wilaya ya mkuranga shule ya msingi, nahitaji mwl wa kubalishana naye anayetoka halmashaur ya mji kibaha au kibaha vijijini tafadhali tuwasiliane