Hakuna kitu mbona naulizia DEREVA mmoja ccm ana kana kuwa hakuna vurugu?Vipi yule tajiri wao hajafika kuwaamulia?
Hakuna kitu mbona naulizia DEREVA mmoja ccm ana kana kuwa hakuna vurugu?Vipi yule tajiri wao hajafika kuwaamulia?
Wachumia tumbo wakubwaUna maana hao uliowataja ni wachumia tumbo?
Sabaya yupi yule wa vitambulisho vya kijitonyama?Bundi atamdondokea Sabaya.
Wacha wabakie vibogoyoHizi njaa mwaka huu zitawafanya watoane meno kabisa.
Mbona sijaiona tbc?Habari kubwa sana tena sana
Wapo wanachungulia na kurudi ndaniHawadhubutu kuleta mimacho yao hapa muda huu ni mpk wakati tumepumzisha mawazo yetu ndiyo wanavamia utafikiri wako msituni!!
Kwahiyo hata hiyo video ni ya wana ukawa na hizo ofisi ni za ukawa?Hakuna kitu mbona naulizia DEREVA mmoja ccm ana kana kuwa hakuna vurugu?
Hongera sana kwa kupata moyo wa kuiangalia hiyo kituMbona sijaiona tbc?
TZ bureau of sisiyemu? sinaga muda na channel za kikuda.Hongera sana kwa kupata moyo wa kuiangalia hiyo kitu
Kama mchwa?Yametafuna sana nchi haya madudu, acha yauwane tu.
Huo ndio mwisho wa uwepo wa ccm nchini tanzaniaHawana utofauti na cuf na lipumba
Wasiyo piganaWahamie kwenye chaka la mafisadi Chadema
Kwahiyo uvccm wote ni wafuasi wa lowasa?Lowasa aliondoka na mtandao pesa na wasaka ikulu naomba wote maslai wamfuate,
Husijeshangaa ukasikia wanapatikana ma dc na ma ded kutoka kundi hiloHawa ndio baadaye wanateuliwa kuwa ma DC ? hii ni aibu sana ! Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuepuka ccm , kiukweli sijawahi kuwa mwanaccm hata kwa masaa 24 , asante Mungu .