Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Wala sio bundi hao ni TEAMLOWASA waliobaki CCM!! MUDA SI MREFU tutawatimua watakuja huko kwenu.Hapo wako wakifanya maigizo tu baada ya kuhujumu CCM ishindwe Arusha wakati wa uchaguzi mkuu.SASA wako wakionyesha maigizo hao ni CHADEMA waliovaa nguo za CCM!!!

Angekuwa CCM ile tu kushindwa uchaguzi kwa CCM ilitakiwa ajiuzulu hata kesho yake ni ushahidi kuwa hawezi kazi sababu kazi ya kiongozi wa CCM hupimwa kwenye uchaguzi.Huyo kashindwa kazi anang`ang`ania ofisi!!! Anatakiwa apishe mchapa kazi mwingine.Namhurumia na hao CHADEMA wenu wanaojiita wanachama wa UVCCM wanaozuia mpya asiingie kitakachowapata wasilaumu mtu
Mkuu pole sana.
Vijana wote wa uvccm ni vibaka leo tumewadaka kwenye camera hatusikii la kuambiwa.
 
Ofisi za Umoja wa Vijana CCM mkoa wa Arusha zimefungwa na wanachama wa CCM mkoani kutaka Katibu mpya Said Gao kupewa ofisi
Hatua hiyo inakuja baada ya baadhi ya viongozi na wanachama kutaka Katibu wa zamani Ezekiel Mollel abaki wakati Chama cha mapinduzi kimeamuru katibu huyo arudi makao makuu ya chama jijini Dar es Salam

Video ni mtiti wa wanachama hao wakipigana kuingia ofisini

kwa hawa hata wakiuana wameshiba
 
Hao ni wale vijana wezi so called uvccm, wanagombania ofisi huko Arusha. To hell with them.
 
Ni wale wasiokunywa sumu wala wasiojinyonga kwa kuichagua CCM. Hao ndiyo kila siku husema kuwa wapinzani ni watu wanaopenda vurugu!!
 
Back
Top Bottom