Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,889
- 71,410
Huyu kiongozi wa UVCCM huko Kagera aliyesema atawapoteza Wapinzani na polisi wasiwatafute kama atakuwa bado yuko ofisini mpaka kufikia leo jioni baada ya kumsikia Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi basi ni kuwa ndani ya CCM kumeoza kuliko tunavyo fikiri.
Huyu Faris ambaye ameonyesha kiwango cha juu kabisa cha ujinga katika uongozi alipaswa kuwa nje ya ofisi kwani kakianika chama chake kuwa ni wauaji na anamuaibisha Katibu mkuu wao kuwa naye ni muongeaji tuu NO ACTION.