Vurugu zaibuka katika ofisi za UVCCM Arusha

Mimi nina hamu sakata kama hili litokee kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa. Tena ningetaka watandikane mpaka watumbuane macho. Hawa jamaa ni balaa tupu.
 
Back
Top Bottom