To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 28,583
- 66,626
Sikuzote mkuuLeo uko Mbeya
Sikuzote mkuuLeo uko Mbeya
Nilikuwa sijuiSikuzote mkuu
Karibu mkuuNilikuwa sijui
Sehemu kubwa ya mada yako umeishia kuponda Dar badala ya kueleza hizo fursa unasema vijana wanavuna mahindi!Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Sumbawanga?Ngoja nihamie mpanda
Ndio huko huko nikawe na mganga sasaSumbawanga?
🤣🤣🤣uanze kutapeli watu kwa radi za kiangazi kwa buku 2Ndio huko huko nikawe na mganga sasa
Mavuno ya mpunga yatakuwa kuanzia lini kwa msimu huu 2024/2025?Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Nitakuja. Kulima mpunga huko.😂😂Karibu mkuu
Cha kushangaza ulienda huko alikosema vijana Wana maisha magumu sana. Naenda off season ndio utajua vijana wanaishije hukoSehemu kubwa ya mada yako umeishia kuponda Dar badala ya kueleza hizo fursa unasema vijana wanavuna mahindi!
Nikawale wajinga mnaosema wajinga ndio wali wao.🤣🤣🤣uanze kutapeli watu kwa radi za kiangazi kwa buku 2
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Hapa nilipo bold no kweli kabisa, Vijana was Dark 90% Wana stress mbaya sana, wiki iliyopita nimepita maeneo ya Kkoo Msimbazi Mabinti wanakofanya ishu za express make-up . Kuna Dada aliniparamia Kwa hasira kisa nimeweka chupa ya maji kwenye fuko lake analowekea rasta zake ambazo hata hazitumiki tena. Vipande vipande. Aisee nilinshangaaa sana 🤣🤣🤣🤣
Binadamu hatufananiHodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,
Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.
Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.
Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.
Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.
Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
🤣🤣🤣Kabisa KabisaNikawale wajinga mnaosema wajinga ndio wali wao.
Mnadhani watu hatujawahi kuishi huko vijijini?umeongea jambo la maana sana na la msingi mno 🐒
jamaa mwaka wa 14 kang'ag'ana dar kazini mshahara la5 kwanza kabisaa haumtoshi, kodi kachumba kamoja kadogo kichizi, hawez nunua kiwanja wala boda boda akati vijana wadogo tu kijijini kwa kilimo na biashara wana mijumba na mahekalu ya hatari huko kijijini ana watoto wa kuzaa kama wote 🐒
town ni kupigwa jua tu na kujipoaza na kahawa baadae jioni 🐒