proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 5,477
- 7,094
Maisha hayatabiriki
Wewe upo uyole sehemu ganii kakaUpo uyole na hatuonani
Maisha ni mipango ya mtu binafsi, anaetobolea shamba haimanishi na kwa mwingine hivohivoumeongea jambo la maana sana na la msingi mno
jamaa mwaka wa 14 kang'ag'ana dar kazini mshahara la5 kwanza kabisaa haumtoshi, kodi kachumba kamoja kadogo kichizi, hawez nunua kiwanja wala boda boda akati vijana wadogo tu kijijini kwa kilimo na biashara wana mijumba na mahekalu ya hatari huko kijijini ana watoto wa kuzaa kama wote
town ni kupigwa jua tu na kujipoaza na kahawa baadae jioni
Wanafurahia wakienda Mkoa msibani kuambiwa WATU WA DAR INGIENI HUMO MLE CHAKULA basi yanafurahiiIla ki ukweli watu wa dar wanaponda mda tu sasa mtu unakuta anakimbiza miaka 40 anakaa chumba kimoja na ka tv nchi 32 na subwoofa basi anajionaa katoboaaaa bank hana hata mia tigo pesa ama mpesa ana buku 20000.Jamani twendeni vijijini kuna vijana wamepambana na wako njema sana.
ni katika kuzinduana tu na kuhamasishana kuchangamkia fursa zilizopo kujikwamua kimaisha...Maisha ni mipango ya mtu binafsi, anaetobolea shamba haimanishi na kwa mwingine hivohivo
Kweli mkuu Vijana wengi wa dar wanamaisha magumu mno, kuna kipindi nilienda kigogo dampo nilishangaa Vijana Wenye nguvu wakiokota Chakula majalalani na kula. Niliumia sanaa.Ila ki ukweli watu wa dar wanaponda mda tu sasa mtu unakuta anakimbiza miaka 40 anakaa chumba kimoja na ka tv nchi 32 na subwoofa basi anajionaa katoboaaaa bank hana hata mia tigo pesa ama mpesa ana buku 20000.Jamani twendeni vijijini kuna vijana wamepambana na wako njema sana.