Vijana tusing'ang'anie Dar

Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.

Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.

Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.

Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
karibu tarime tulime mazao ya kila aina tena misimu miwili kwa mwaka
 
Hodi wadau, mimi ni mgeni kiuanachama ila ni mwenyeji kiusomaji. Leo Nina hoja yangu. Kama takuwa nimewakwaza watu samahanini sana, hoja yangu ni hii,

Kuna maisha nje ya Dar, huku mikoani kuna fursa za kutosha kwa mfano ukibahatika kufika Mpanda unaweza kushangaa vijana wadogo wanavyovuna mahindi na mazao engine.

Dar maisha magumu sana hasa kwa wale hali ya chini. Huko hewa yenyewe ya kugombania.

Watu hawalali wanakesha kwenye magari. Yani mtu saa kumi lazima uwe umeamka.

Joto, foleni, kelele yani watu wanastress balaa ukimgusa hata kwa bahati mbaya atawaka balaa.

Kwa leo naishia hapa karibuni Mpanda Kalila tulime mpunga.
Unachhoongea ni cha kweli, ila siwezi kukuunga mkono maana sina mpango wa kuondoka Dar japo maisha yangu ni magumu.

Kama unanionea huruma nipe ushauri nifanye nini, ila icho kitu lazima nikifanyie Dar.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom