Vigezo na masharti ya kushiriki katika Stories of Change 2023

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,227
5,266
  1. Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
  2. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’.
  3. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi.
  4. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linachochea mabadiliko kuhusu Uwajibikaji au Utawala bora katika nyanja mbalimbali. Andiko linaweza kuwa Habari, taarifa, maoni, uchambuzi au uchunguzi.
  5. Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno yasiyopungua 700 na yasiyozidi 1000.
  6. Andiko lisiwe limewahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote (Plagiarism). Aidha lisiwe tafsiri ya andiko lililochapishwa sehemu nyingine kwa lugha tofauti.
  7. Hakikisha unachapisha andiko lako kwenye Jukwaa la Stories of Change, ukichapisha katika majukwaa mengine halitazingatiwa.
  8. Usiweke andiko kama attachment (Word/pdf).
  9. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  10. Unaweza kuchapisha andiko Zaidi ya moja.
  11. Andiko lisiwe na sehemu ya mwendelezo, mathalani, Sehemu ya I, Sehemu ya II.
  12. Kichwa cha habari kisipungue maneno manne yanayoeleweka.
  13. Watendaji wa JamiiForums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.
Aidha

Soma SoC03 - Namna ya kuweka andiko lako ndani ya jukwaa la Stories of Change 2023

na SoC03 - Jinsi ya kujisajili kuwa mwanachama wa Jamiiforums.com
 
  1. Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunga hiki Register
  2. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’.
  3. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi.
  4. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linalochochea mabadiliko kuhusu Uwajibikaji au Utawala bora katika nyanja mbalimbali. Andiko linaweza kuwa Habari, taarifa, maoni, uchambuzi au uchunguzi.
  5. Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno yasiyopungua 700 na yasiyozidi 1000.
  6. Andiko lisiwe limewahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote (Plagiarism). Aidha lisiwe tafsiri ya andiko lililochapishwa sehemu nyingine kwa lugha tofauti.
  7. Hakikisha unachapisha andiko lako kwenye Jukwaa la Stories of Change, ukichapisha katika majukwaa mengine halitazingatiwa.
  8. Usiweke andiko kama attachment (Word/pdf).
  9. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  10. Unaweza kuchapisha andiko Zaidi ya moja.
  11. Andiko lisiwe na sehemu ya mwendelezo, mathalani, Sehemu ya I, Sehemu ya II.
  12. Watendaji wa JamiiForums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.
Sharti gumu kwangu ni namba 3 , lakini ngoja nione
 
Kuna baadhi ya maneno ni magumu katika kiswahili au hayapo rasmi kwa lugha ya kiswahili, mfano neno kiambatisho linamaanisha attachment, sasa mtu akisema attachment kama mlivyosema ninyi kwenye namba 8 anaeleweka kwa urahisi kuliko akisema kiambatisho, Je maneno hayo yakitumika katika andiko yanaweza kulifanya liwe halina vigezo (disqualified)? Mfano namba 6 mlichokiandika, maana yake siyo hiyo iliyowekwa kwenye mabano, maana inaweza kuwa ni kazi ya mtu huyohuyo na hivyo ikawa sio plagiarism.

Naomba ufafanuzi wakuu.
 
  1. Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunga hiki Register
  2. Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’.
  3. Mshiriki atatakiwa kutaja jina halisi endapo ataibuka mshindi.
  4. Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko ambalo linalochochea mabadiliko kuhusu Uwajibikaji au Utawala bora katika nyanja mbalimbali. Andiko linaweza kuwa Habari, taarifa, maoni, uchambuzi au uchunguzi.
  5. Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno yasiyopungua 700 na yasiyozidi 1000.
  6. Andiko lisiwe limewahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote (Plagiarism). Aidha lisiwe tafsiri ya andiko lililochapishwa sehemu nyingine kwa lugha tofauti.
  7. Hakikisha unachapisha andiko lako kwenye Jukwaa la Stories of Change, ukichapisha katika majukwaa mengine halitazingatiwa.
  8. Usiweke andiko kama attachment (Word/pdf).
  9. Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki, atalazimika kutaja chanzo.
  10. Unaweza kuchapisha andiko Zaidi ya moja.
  11. Andiko lisiwe na sehemu ya mwendelezo, mathalani, Sehemu ya I, Sehemu ya II.
  12. Kichwa cha habari kisipungue maneno manne yanayoeleweka.
  13. Watendaji wa JamiiForums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili.
Nimekua Nilitamani Kuandika Toka msimu wa Kwanza Lakini Najikuta Mzito tu Ila mwaka Huu ngoja niamue
 
Kuna baadhi ya maneno ni magumu katika kiswahili au hayapo rasmi kwa lugha ya kiswahili, mfano neno kiambatisho linamaanisha attachment, sasa mtu akisema attachment kama mlivyosema ninyi kwenye namba 8 anaeleweka kwa urahisi kuliko akisema kiambatisho, Je maneno hayo yakitumika katika andiko yanaweza kulifanya liwe halina vigezo (disqualified)? Mfano namba 6 mlichokiandika, maana yake siyo hiyo iliyowekwa kwenye mabano, maana inaweza kuwa ni kazi ya mtu huyohuyo na hivyo ikawa sio plagiarism.

Naomba ufafanuzi wakuu.
kuna maneno mengine ni magumu katika tafsiri ya kiswahili hivyo inabidi itumike lugha adhimu lakini ni sharti uliwekee angalizo,kwa mfano katik andiko linalohusu muundo wa mfumo flani maneno yanayotumika sana katika uundaji ni Kiingereza,hivyo kuleta maana halisi ya muundo wa mfumo huo mtu analazimika kutumia maneno ya lugha tambuzi ya kimfumo
 
Back
Top Bottom