Hadi nimedinda yaani.
Makitu gani hayo umechanganya na nyanya?
Eeeh huu ni msosi tena wa maana.
Thubutuu 😁Breakfast 🤣
Ila mwenyejii huu utani na tumbo, wallah.
Embu tuone portion yako kwanza 😁Ila mwenyejii huu utani na tumbo, wallah.
Daaah
had kesho mchanaa, ntakuonesha portion angu.Embu tuone portion yako kwanza